Hivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala Tanzania?
Hivi mnajua kuwa hata kidato cha nne hakufaulu?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.
Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
View attachment 3444855
Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa endeleeni kusubiria ndege kwenye stendi ya daladala