EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
ilikuajeUruguay vs Ghana word cup 2010...ilikuwa robo fainali.
Ghana walikosa penalty ambayo ilikuwa inawapa ushindi wa kwenda semi-final.ilikuaje
Pole sana mkuu, sometimes inaumiza sanaGhana walikosa penalty ambayo ilikuwa inawapa ushindi wa kwenda semi-final.
Hii ya kwanza hata mimi inaniuma, hadi Drogba alikula kadi nyekundu1.Chelsea vs Barcelona..2009.chelsea tulionewa Sana Sana..
Machungu ninayo hadi Leo..
2.Ghana vs Uruguay..2010.tu
Tulisikitika Sana (Suarez mshenzy Sana)
basi usiwe unakosaNashukuru siku nikisita kwenda uwanjani basi siku hiyo matokeo huwa hovyo.
Na sijawahi kwenda uwanjani then tufungwe.
Nikisita tu mkuu. Basi huwa siendi na siku hiyo matokeo huwa hatihati. Mara nyingi tunapoteza.basi usiwe unakosa
Machale yako mazuri hayadanganyiNikisita tu mkuu. Basi huwa siendi na siku hiyo matokeo huwa hatihati. Mara nyingi tunapoteza.
Mlimani city car parking kwa udhamini wa coca cola, watu wote tulikuwa tunashangilia timu mojaUruguay vs Ghana World Cup 2010. Ilikuwa robo fainali.
Bila shaka man u weweAguerooooooooooooooooo...!
Niliacha kushabikia mpira kwa muda, ila baadaye machungu yalipoa.
π π π π ilikuaje??Aguerooooooooooooooooo...!
Niliacha kushabikia mpira kwa muda, ila baadaye machungu yalipoa.
Man u alihitaji city apigwe au atoke sare, sasa hadi dakika ya 90 city kapigwa mbili moja, dakika za nyongeza city kasawazisha na kapiga latatu mtu mzima Kun kafanya yake na ndio game ya mwisho eplπ π π π ilikuaje??
Pole sana mkuuMan u alihitaji city apigwe au atoke sare, sasa hadi dakika ya 90 city kapigwa mbili moja, dakika za nyongeza city kasawazisha na kapiga latatu mtu mzima Kun kafanya yake na ndio game ya mwisho epl
Sio mimi ni huyo jamaa, mimi ni liver nilifurahi sanaPole sana mkuu