rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ila tulilipiza kisasi msimu uliofuataNakumbuka fainali UCL kati ya AC millan vs Liverpool niliumia sana tena mpaka leo liverpool naichukia kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tulilipiza kisasi msimu uliofuataNakumbuka fainali UCL kati ya AC millan vs Liverpool niliumia sana tena mpaka leo liverpool naichukia kinoma
Ni kweli ila siku ile sikupata usingizi kabisa mpira unamatokeo ya kikatili kweli kweliIla tulilipiza kisasi msimu uliofuata
BALOTELI-> MAN SIX weweeeee[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91].. siku hiyo man uSitaki niandike mengi "Why Always Me" sisahau mpk leo sikumaliza dkk zote tisini siku ile .
Umenikumbusha na mechi Deportivo la coruna waliyotutoa walipotufunga 4-0 baada ya kuwafunga 4-1Ni kweli ila siku ile sikupata usingizi kabisa mpira unamatokeo ya kikatili kweli kweli
🤣🤣🤣 aloooKuna mwaka nimeusahau mtanikumbusha. Yanga alikuwa anaongoza ligi kwa point 2 zaidi ya simba, mtibwa (kama sijakosea) alikuwa nafasi ya pili kamzidi simba point 1, simba akiwa anashika nafasi ya tatu na kila mtu amebakiwa na mechi moja zote zinachezwa siku moja. Ubingwa ulikuwa kati ya yanga au mtibwa simba hakuwa kwenye hesabu za ubingwa. Siku hiyo RTD hawakutangaza mechi yoyote kwa hiyo kila mtu alikuwa anasubiri saa mbili kasorobo asikie yanga au mtibwa atangazwe bingwa. Mbili kasoro mtangazaji anaanza kwa kusema SIMBA BINGWAAA.
🤣🤣 ndio maana siku hizi nimepunguza mahaba maana nilikuwa nateseka sana pale chama langu linapopigwa K,OUmenikumbusha na mechi Deportivo la coruna waliyotutoa walipotufunga 4-0 baada ya kuwafunga 4-1
Nakumbuka hii siku nilifurahi sana🤣🤣Mi ni shabiki wa Manchester united, nakumbuka mechi na bayern Munchen 2010, Roho iliniuma sanaaaa, robnen alitufanya kitu kibaya Sana, ile red card haikuwa ya Hali kabisa..
View attachment 1664944
We shabiki wa timu gani..?Nakumbuka hii siku nilifurahi sana[emoji1787][emoji1787]
Mimi mwenyewe hata sijui nashabikia timu gani lkn nafurahi sana pale man u ,liverpool,bacca,simba wakifungwa na hiyo ndio furaha yangu zaidi ya hapo maumivu tuWe shabiki wa timu gani..?
Ile ndio mechi bora ya fainali za world cup.2006 mwaka ulikuwa si sehemu yangu ya kushangilia vikombe..
Arsenal tunakufa fainali ya uefa vs barca
Kisha
France anakufa fainali ya world cup vs italy
Ilikuwa 2004Umenikumbusha na mechi Deportivo la coruna waliyotutoa walipotufunga 4-0 baada ya kuwafunga 4-1
Nakumbuka foward yao ilikuwa inaitwa walter pandiani,ilipiga goli zote nne kama sijakoseaUmenikumbusha na mechi Deportivo la coruna waliyotutoa walipotufunga 4-0 baada ya kuwafunga 4-1
Game iliniuma saana ile, kipindi kile nawapenda mnoo france, nampenda mnoo zizuu, nampenda mnoo th14Ile ndio mechi bora ya fainali za world cup.
Mahaba yatarudi sasa hivi wanajitengeneza wanarudi champion league🤣🤣 ndio maana siku hizi nimepunguza mahaba maana nilikuwa nateseka sana pale chama langu linapopigwa K,O
Naona awamu hii tumerudi vizuri ngoja tuone itakuwaje mpaka mwisho wa msimu lakini pia sidhani kama chama langu la AC millan litarudi na moto kwenye UCL kama miaka ya nyumaMahaba yatarudi sasa hivi wanajitengeneza wanarudi champion league