Hebu tukumbushane machungu ya timu zetu siku tulipojutia kwenda uwanjani au Vibanda Umiza

Kumbe we mkongwe, Simba alipigwa2-0. Zile Kia zikaota mbawa. Hata hivyo inasemekana hiyo mechi mdhamini mkuu wa Mnyero fc kipindi hicho Azim Dewji aliuza hiyo mechi.
Mimi mechi ya simba na stella abdijan mwaka 1993, iliniumiza sana ,kilichoniumiza nilikuwa mdogo,nilimuona mama analia sana,simba alipigwa 2 au 3 kama sijakosea.kuna magoli alifunga jamaa aliiitwa boli zozo.

Nyingine ni mechi ya senegal na uturuki robo fainali kombe la dunia 2002.goli la hakan sukur liliniumiza sana ,
 
Daah nakumbuka,enzi hizo tunasikiliza tu kupitia RTD.nasikia aliuza kusevu kutoa zawadi ya kia.enzi hizo gari aina ya KIA ilikuwa inatamba sana.[emoji2][emoji2]
 
Inasemekana Kuna wachache walipewa kwa Siri, akiwemo kipa Mwameja. Hii iliumiza watz wote wakiongozwa na mh. Rais wa wakati huo mzee rukusa. Tokea siku hiyo nasikia aliapa kutorudi uwanjani Tena, na jina la kichwa Cha mwendawazimu likaasissiwa tangia hapo.
 
Sasa ndio ilikuwa mwanzo wa mimi kuwa shabiki wa yanga,niliichukia simba kwasabu niliumia kumuona mama analia,na ndio ilikuwa siku ya kwanza kumuona analia.nkaanza kuipenda yanga ya lunyamila,na kina keni mkapa,said mwamba mpaka leo nipo utopolo[emoji2][emoji2]
 
1. Manchester United 3 Bayern 2
Mechi ya mkondo wa kwanza Wayne Rooney alichomwa sindano ya ganzi ili acheze, tukafa 2 kwa 1.

Mechi ya marudiano Arjen Robben anafunga bao la kikatili sana, hakika niliumia sana.

2. SIMBA SC vs UD SONGO (kwa mkapa)
Daah! Luis Miquesson alikua mwiba sana, nilihisi kutoa machozi
 
Moyo unadunda..yasije yakatokea Tena kwa platinum..tar 6
 
Mimi mechi ya simba na stella abdijan mwaka 1993, iliniumiza sana ,kilichoniumiza nilikuwa mdogo,nilimuona mama analia sana,simba alipigwa 2 au 3 kama sijakosea.kuna magoli alifunga jamaa aliiitwa boli zozo.

Nyingine ni mechi ya senegal na uturuki robo fainali kombe la dunia 2002.goli la hakan sukur liliniumiza sana ,
Maza ako mtu poa sana kumbe shabiki wa Simba?
 
Daah nakumbuka,enzi hizo tunasikiliza tu kupitia RTD.nasikia aliuza kusevu kutoa zawadi ya kia.enzi hizo gari aina ya KIA ilikuwa inatamba sana.[emoji2][emoji2]
Kwamba simba ilikua haifungiki au mpinzani anunue mechi? Sikubaliani na hili.
 
Back
Top Bottom