CheerLeader
Member
- Feb 14, 2018
- 96
- 117
Kwenye Vinywaji tunafanana, napenda sana Maziwa lol.!Soka-Yanga,liverpool,juve,b dortmund
Siasa-[emoji735]
Mchezaji bora muda wote- ronaldo lima
Kinywaji-maziwa,maji,juice
Movie-lionheart
Naongezea hapo na weusi ukijibiwa mama uniite
Njooni kwangu nyote wenye viflat screen, weusi na ufupi uliokithiri. Nami nitawapumzisha!Naongezea hapo na weusi ukijibiwa mama uniite
[emoji847][emoji8] handsome ndio mana nakupenda mm hatimaye tumepata mkombozi na sisi cc Hornet ukuje mamaNjooni kwangu nyote wenye viflat screen, weusi na ufupi uliokithiri. Nami nitawapumzisha!
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
- KANA -
Naongezea hapo na weusi ukijibiwa mama uniite
Hahaha sio hawasemi hawatutaki na vyeusi mangala
We Ni cheusi dawa? Au Mimi sikuhizi sielewei.Hahaha sio hawasemi hawatutaki na vyeusi mangala
Naongezea hapo na weusi ukijibiwa mama uniite
Acha uongo libolo ya angola sio congo au unazungumzia libolo lipi mkuuMimi ninayo Matako makubwa
Ni mrefu
Mweusi
Napenda Arsenal
Napenda Club Libolo ya Congo
Napenda kusafiri safiri sana
Sipendi kutongozwa
Weka tuoneSisi wengine hasa mimi,nikisema yangu naweza zua mada juu ya mada. Tunatofautina sana.
Nimechagua kusoma vile wapendavyo wenzangu.....
Interest ime click kwa 70%Mwanaume: Mrefu kuliko mimi
Mpira: England-Manchester United
Bongo-Simba
Spain:Barcelona
France: PSG
Timu ya taifa: France
Mchezaji bora muda wote: Diego Maradona 😁
Mziki: Ya levis-katchua
Eminem-cleaning out my closet
G eazy-Good life
Tyga- 1 of 1
Vinywaji: Maji,maziwa
Movies: What happened to monday
Wonder
Death note
Mtandao bora: Jamiiforums