Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Napenda wanawake wote wenye viuno vikubwa kuliko vifua vyao

Kuhusu nimpendae katika siasa ni Mh Tundu Lisu

Mpira mimi ni mwana simba kwa Tanzania ila nje ni Chelsea

Muziki wangu ni reggae pamoja na muziki ya taratibu kama ya Celine dion, Shania twin, ABBA chikutita, Michael Jackson, West life nk

Starehe yangu ni kutalii, ngumi, mapenzi ganja pamoja na jamiiforums

Vituko napendelea ila viwe HD na viwe vya viwango

Usafiri ninaopendelea ni hizi pikipiki kubwakubwa
 
Club
Liverpool England
Real Zaragoza Spain
Sofapaka Kenya

Vinywaji
Maji
Maziwa

Nyimbo
Tabora jazz
DDC mlimani park
Moro jazz
Oko jazz
Urafiki jaz
Nyimbo zote za CCM

Mwanasiasa
Jk nyerere
Moringe sokoine
Mabutu seseko

Wachezaji
Chacharito
Kaka
Et'o

Mwanamke anaenivutia
Awe mweusi kidogo,mrefu kidogo,mwenye kujiheshimu mwenyewe
 
Wanawake:wote tu nasema tena wooooote tu Nawapenda tu

Mpira Club
Uingereza :Arsenal

Timu ya Taifa
Spain

Wachezaji wangu Bora
Gaucho, KDB,


muziki
JCB - Ukiskia Paaa
Pac - can you get away, Ghetto gospel
Scarface - Never see a man cry
Nas - Hiphoip is dead, Patience, (It was written + Distant relative)

Msanii wangu mkali wa muda wote
Tanzania: JCB, Fid, Ngwair, langa
Duniani: Nas, 2pac, Scarface

Vinywaji
Fanta passion

Vituo vya TV
SS3
ITV
Discovery family

Hawa sijui ni waweke kwenye group gani(Mtajua wenyewe)
Jonas Savimbi, Julius Nyerere, Dr Kwame Nkuruma, Pablo escobar, Balali,

Movie
Lone survivor

Mtandao au Forum
Jamii forums
Yahoo answers
Nairaland
 
Mwanaume: Mrefu kuliko mimi

Mpira: England-Manchester United
Bongo-Simba
Spain:Barcelona
France: PSG


Timu ya taifa: France

Mchezaji bora muda wote: Diego Maradona 😁

Mziki: Ya levis-katchua
Eminem-cleaning out my closet
G eazy-Good life
Tyga- 1 of 1

Vinywaji: Maji,maziwa

Movies: What happened to monday
Wonder
Death note


Mtandao bora: Jamiiforums

 
Wanawake: wote wote

Football club: Yanga na Manchester Untd

M/Mziki: Young killer,Fid q,Rayvanny,Diamond platnumz & Nasty C

Mwanasiasa naemkubali: Hakuna

Movies: Korean dramas na za Marvel studios

Kinywaji: Juice
 
Mwanaume: Mrefu kuliko mimi

Mpira: England-Manchester United
Bongo-Simba
Spain:Barcelona
France: PSG


Timu ya taifa: France

Mchezaji bora muda wote: Diego Maradona 😁

Mziki: Ya levis-katchua
Eminem-cleaning out my closet
G eazy-Good life
Tyga- 1 of 1

Vinywaji: Maji,maziwa

Movies: What happened to monday
Wonder
Death note


Mtandao bora: Jamiiforums

Interest ime click kwa 70%
 
Back
Top Bottom