Hebu Tuseme Ukweli, Ni Members Gani wapo Kwenye Ignore List Yako?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread yako oyaa we mnyaturu nini wewe...au uliwahi tu kuandika thread kusifia bangi mwaka 2019 leo 2026 mtu anakuja ku comment anasema we navuta bangi sababu nyingine kuna watu sijui washamba kuamini kwamba kuna watu wanalipwa na ccm 7000 kisa tu labda ukitoa post kumkubali labda mwigulu chemba na kazi anayofanya aisee kuna wana jf wajinga sana kama wanaamini kwamba ccm inawalipa watu 7000 kusifia serikali...isababu nyingine kumsema vibaya magufuli aisee mimi kama humkubali magufli sio kumkubali kama unamchukia sana huwa najiuliza alikufanyia kitu gani kibaya ..ila sababu kubwa ni mtu kukumbushia post za 2016 huko yaani mpaka unajiuliza huyu mbona kama amenikariri sana sababu nyingine mtu kunitaja real name humu jukwaani hata kama unanijua kausha mzee acha shobo.ngoja nitaje maadui zangu wa JF wako 20
1.choice variable
2.didas john masawe
3.don vill
4.dr hyperkid
5.fresh brain
6.gallow bird
7.kubwa la maadui
8.light saber imetosha sasa
9.light brain
10.lucas mwashamba
11.mbarika
12.minocyline
13.mkweche 11
14.naught by nature
15.skudu makudubela
16.THE BIG SHOW
17.tiffay
18.tukana uone
19.wax
20.truth teller
 
17.skudu makudubela
18.tiffay
19.tukana uone
20.wax
21.truth teller
😂😂😂😂
 
Naona list imesheheni chawa wa kila aina
 
List yako kama yangu tu
 
Sijawahi kumuignore mtu yeyote na wala sitakuja kumuignore mtu yeyote yule,

Kwanza kwangu hua naona huo ni udhaifu,kingine i believe nobody is perfect,pia naheshimu uhuru wa maoni wa kila mtu,

NB;

Huo ni mtazamo wangu na uamuzi wangu,sijamwambia mtu yeyote awe na mtazamo au uamuzi kama wangu.
 
mpka nianze kum ignor mtu dah sijui atakua amenifanya nini, sijawahi kuchukulia vitu vya humu seriously kiasi hicho nafanya mambo yangu alf napita hivi,,,, ila ngoja nisimalize maneno labda nawez kufanya hivyo kwa badae
 
Sijawahi kumuignore mtu yeyote na wala sitakuja kumuignore mtu yeyote yule,

Kwanza kwangu hua naona huo ni udhaifu,kingine i believe nobody is perfect,pia naheshimu uhuru wa maoni wa kila mtu,

NB;

Huo ni mtazamo wangu na uamuzi wangu,sijamwambia mtu yeyote awe na mtazamo au uamuzi kama wangu.
Una roho ngumu sana mkuu
 
Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread yako oyaa we mnyaturu nini wewe...au uliwahi tu kuandika thread kusifia bangi mwaka 2019 leo 2026 mtu anakuja ku comment anasema we navuta bangi sababu nyingine kuna watu sijui washamba kuamini kwamba kuna watu wanalipwa na ccm 7000 kisa tu labda ukitoa post kumkubali labda mwigulu chemba na kazi anayofanya aisee kuna wana jf wajinga sana kama wanaamini kwamba ccm inawalipa watu 7000 kusifia serikali...isababu nyingine kumsema vibaya magufuli aisee mimi kama humkubali magufli sio kumkubali kama unamchukia sana huwa najiuliza alikufanyia kitu gani kibaya ..ila sababu kubwa ni mtu kukumbushia post za 2016 huko yaani mpaka unajiuliza huyu mbona kama amenikariri sana sababu nyingine mtu kunitaja real name humu jukwaani hata kama unanijua kausha mzee acha shobo.ngoja nitaje maadui zangu wa JF wako 20
1.choice variable
2.didas john masawe
3.don vill
4.dr hyperkid
5.fresh brain
6.gallow bird
7.kubwa la maadui
8.light saber imetosha sasa
9.light brain
10.lucas mwashamba
11.mbarika
12.minocyline
13.mkweche 11
14.naught by nature
15.skudu makudubela
16.THE BIG SHOW
17.tiffay
18.tukana uone
19.wax
20.truth teller
Umenisahau
 
Back
Top Bottom