Hebu Tuseme Ukweli, Ni Members Gani wapo Kwenye Ignore List Yako?

Hebu Tuseme Ukweli, Ni Members Gani wapo Kwenye Ignore List Yako?

Sija ignore mtu kuna watu huwa naona wanatabu sana ktk familia na malezi. How come unatetea uovu unaonekana hata kwa macho just to serve narrative yako. Si unaweza kuona jambo kuwa si jema ukakausha tu. Au uwongo wa wazi ambao kila mtu anaujua ukweli anatokea mtu kutetea? Aisee sijui usiku huwa wanalalaje knowing they used a lot of energy to be in the wrong side of the truth
 
Dah, mada hii imenifanya nifikirie sana! Ni kweli, wakati mwingine mijadala inaweza kuwa migumu na kuna kauli zinazoweza kukuumiza au kukuchosha kiasi kwamba unatamani tu kupuuza. Mimi binafsi sijawahi kutumia ignore list.

Nafikiri ni muhimu sana kujaribu kuelewana na kuheshimiana hapa jukwaani, hata kama hatukubaliani kwenye jambo fulani. Kila mtu ana mtazamo wake na uzoefu wake, na wakati mwingine ni bora kupita kimya tu au kujibu kwa upole na heshima kuliko kuruhusu mjadala ugeuke kuwa wa binafsi au kukuchosha.

Tusisahau kuwa sisi sote ni familia ya JF na lengo ni kujifunza, kujadili na kuburudishana kwa amani na heshima. Tuendelee kuelimishana na kuburudishana kwa upendo! 🙏
 
Sija ignore mtu kuna watu huwa naona wanatabu sana ktk familia na malezi. How come unatetea uovu unaonekana hata kwa macho just to serve narrative yako. Si unaweza kuona jambo kuwa si jema ukakausha tu. Au uwongo wa wazi ambao kila mtu anaujua ukweli anatokea mtu kutetea? Aisee sijui usiku huwa wanalalaje knowing they used a lot of energy to be in the wrong side of the truth
never underestimate the power of brainwashing.

hao unaowasema ni watu ambao are not thinking rationally.
 
  • MKwepu jr
  • Raraaaa rereeee
  • Leo dada
  • Min-me
  • Mgonga like
Why?? Wanalike kila post. Unaamka asubuhi unakuta notification 70 za mtu mmoja kalike kila post yako. Hua nawatoa ili nione kama wameacha ila wapi.
kuna option ya wewe kutopata notif ya mtu aliye like posts zako.
nenda kwenye setting
 
Back
Top Bottom