ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
😂😂😂😂Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread yako oyaa we mnyaturu nini wewe...au uliwahi tu kuandika thread kusifia bangi mwaka 2019 leo 2026 mtu anakuja ku comment anasema we navuta bangi sababu nyingine kuna watu sijui washamba kuamini kwamba kuna watu wanalipwa na ccm 7000 kisa tu labda ukitoa post kumkubali labda mwigulu chemba na kazi anayofanya aisee kuna wana jf wajinga sana kama wanaamini kwamba ccm inawalipa watu 7000 kusifia serikali...isababu nyingine kumsema vibaya magufuli aisee mimi kama humkubali magufli sio kumkubali kama unamchukia sana huwa najiuliza alikufanyia kitu gani kibaya ..ila sababu kubwa ni mtu kukumbushia post za 2016 huko yaani mpaka unajiuliza huyu mbona kama amenikariri sana sababu nyingine mtu kunitaja real name humu jukwaani hata kama unanijua kausha mzee acha shobo.ngoja nitaje maadui zangu wa JF wako 20
1.choice variable
2.didas john masawe
3.don vill
4.dr hyperkid
5.fresh brain
6.gallow bird
7.kubwa la maadui
8.light saber imetosha sasa
9.light brain
10.lucas mwashamba
11.mbarika
12.minocyline
13.mkweche 11
14.naught by nature
15.skudu makudubela
16.THE BIG SHOW
17.skudu makudubela
18.tiffay
19.tukana uone
20.wax
21.truth teller
Naona list imesheheni chawa wa kila ainaKila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread yako oyaa we mnyaturu nini wewe...au uliwahi tu kuandika thread kusifia bangi mwaka 2019 leo 2026 mtu anakuja ku comment anasema we navuta bangi sababu nyingine kuna watu sijui washamba kuamini kwamba kuna watu wanalipwa na ccm 7000 kisa tu labda ukitoa post kumkubali labda mwigulu chemba na kazi anayofanya aisee kuna wana jf wajinga sana kama wanaamini kwamba ccm inawalipa watu 7000 kusifia serikali...isababu nyingine kumsema vibaya magufuli aisee mimi kama humkubali magufli sio kumkubali kama unamchukia sana huwa najiuliza alikufanyia kitu gani kibaya ..ila sababu kubwa ni mtu kukumbushia post za 2016 huko yaani mpaka unajiuliza huyu mbona kama amenikariri sana sababu nyingine mtu kunitaja real name humu jukwaani hata kama unanijua kausha mzee acha shobo.ngoja nitaje maadui zangu wa JF wako 20
1.choice variable
2.didas john masawe
3.don vill
4.dr hyperkid
5.fresh brain
6.gallow bird
7.kubwa la maadui
8.light saber imetosha sasa
9.light brain
10.lucas mwashamba
11.mbarika
12.minocyline
13.mkweche 11
14.naught by nature
15.skudu makudubela
16.THE BIG SHOW
17.skudu makudubela
18.tiffay
19.tukana uone
20.wax
21.truth teller
List yako kama yangu tuKila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread yako oyaa we mnyaturu nini wewe...au uliwahi tu kuandika thread kusifia bangi mwaka 2019 leo 2026 mtu anakuja ku comment anasema we navuta bangi sababu nyingine kuna watu sijui washamba kuamini kwamba kuna watu wanalipwa na ccm 7000 kisa tu labda ukitoa post kumkubali labda mwigulu chemba na kazi anayofanya aisee kuna wana jf wajinga sana kama wanaamini kwamba ccm inawalipa watu 7000 kusifia serikali...isababu nyingine kumsema vibaya magufuli aisee mimi kama humkubali magufli sio kumkubali kama unamchukia sana huwa najiuliza alikufanyia kitu gani kibaya ..ila sababu kubwa ni mtu kukumbushia post za 2016 huko yaani mpaka unajiuliza huyu mbona kama amenikariri sana sababu nyingine mtu kunitaja real name humu jukwaani hata kama unanijua kausha mzee acha shobo.ngoja nitaje maadui zangu wa JF wako 20
1.choice variable
2.didas john masawe
3.don vill
4.dr hyperkid
5.fresh brain
6.gallow bird
7.kubwa la maadui
8.light saber imetosha sasa
9.light brain
10.lucas mwashamba
11.mbarika
12.minocyline
13.mkweche 11
14.naught by nature
15.skudu makudubela
16.THE BIG SHOW
17.tiffay
18.tukana uone
19.wax
20.truth teller
Kama ulikuwepo, nilishamwongeza na Stuxnet1.TlaaTlaa
2.RITZ
3.
Una roho ngumu sana mkuuSijawahi kumuignore mtu yeyote na wala sitakuja kumuignore mtu yeyote yule,
Kwanza kwangu hua naona huo ni udhaifu,kingine i believe nobody is perfect,pia naheshimu uhuru wa maoni wa kila mtu,
NB;
Huo ni mtazamo wangu na uamuzi wangu,sijamwambia mtu yeyote awe na mtazamo au uamuzi kama wangu.
UmenisahauKila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread yako oyaa we mnyaturu nini wewe...au uliwahi tu kuandika thread kusifia bangi mwaka 2019 leo 2026 mtu anakuja ku comment anasema we navuta bangi sababu nyingine kuna watu sijui washamba kuamini kwamba kuna watu wanalipwa na ccm 7000 kisa tu labda ukitoa post kumkubali labda mwigulu chemba na kazi anayofanya aisee kuna wana jf wajinga sana kama wanaamini kwamba ccm inawalipa watu 7000 kusifia serikali...isababu nyingine kumsema vibaya magufuli aisee mimi kama humkubali magufli sio kumkubali kama unamchukia sana huwa najiuliza alikufanyia kitu gani kibaya ..ila sababu kubwa ni mtu kukumbushia post za 2016 huko yaani mpaka unajiuliza huyu mbona kama amenikariri sana sababu nyingine mtu kunitaja real name humu jukwaani hata kama unanijua kausha mzee acha shobo.ngoja nitaje maadui zangu wa JF wako 20
1.choice variable
2.didas john masawe
3.don vill
4.dr hyperkid
5.fresh brain
6.gallow bird
7.kubwa la maadui
8.light saber imetosha sasa
9.light brain
10.lucas mwashamba
11.mbarika
12.minocyline
13.mkweche 11
14.naught by nature
15.skudu makudubela
16.THE BIG SHOW
17.tiffay
18.tukana uone
19.wax
20.truth teller
🤣🤣🤣Sjui wanne ina nawatoa ni kama nawaogopa sasa!
Ongeza haszu hapo chini😁
Yeah na wewe waga mkuda mkuda sanaUmenisahau