Hebu tuweni wastaarabu hebu ona huyu....

Hebu tuweni wastaarabu hebu ona huyu....

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,970
Reaction score
35,168
Wanadamu tunakosa ustaarabu.

Unakwenda kwenye ofisi ya mtu, "naomba uniwekee simu yangu ipate moto kidogo"
Cha ajabu hujazima li simu lako, volume umeweka ya juu, halafu wewe ni mtu wa kupigiwa simu mara kwa mara, yaani unamwachia mwenye ofisi kelele, na mbaya kuliko vyote haupo hata eneo la karibu umeshaenda na mambo yako🙁🙁🙁🙁.

Ukiomba kuwekewa huo moto, tafadhali zima simu yako au weka silence.

Nshachafukwa nafsi mie.
 
Ameshaondoka ndio "midundo" ikaanza! hata hivi ninavyojibu comment yako simu inaita hahahahaahah (wimbo wa kamatia chini)

Aisee pole.. Msaidie kuizima kabisa.. Atakapokuja utamuambia kiutaratibu kabisa ilikuwa inaleta usumbufu na nia yako ni kuiweka silent bt ikazima kwa bahati mbaya (ingawa umeizima kwa makusudi)..
 
Aisee pole.. Msaidie kuizima kabisa.. Atakapokuja utamuambia kiutaratibu kabisa ilikuwa inaleta usumbufu na nia yako ni kuiweka silent bt ikazima kwa bahati mbaya (ingawa umeizima kwa makusudi)..
tehe tehe tehe ila naogopa hahaha
 
Nahuja wangu pole.
Nakuomba uje inbox ni jambo la kukushirikisha tafadhali usipuuzie
Sawa nakuja ila ngoja kwanza hasira zangu zitulie maana wamenitibua kwa makele yale. kama unionavyo hapa nimechukia sana
27971570_159552564837599_6818417740656196653_n.jpg
 
Back
Top Bottom