Wanadamu tunakosa ustaarabu.
Unakwenda kwenye ofisi ya mtu, "naomba uniwekee simu yangu ipate moto kidogo"
Cha ajabu hujazima li simu lako, volume umeweka ya juu, halafu wewe ni mtu wa kupigiwa simu mara kwa mara, yaani unamwachia mwenye ofisi kelele, na mbaya kuliko vyote haupo hata eneo la karibu umeshaenda na mambo yako🙁🙁🙁🙁.
Ukiomba kuwekewa huo moto, tafadhali zima simu yako au weka silence.
Nshachafukwa nafsi mie.