Hebu tuyaangazie mafanikio ya Diamond Platnumz mwaka huu wa 2018. Tunaweza pata cha kujifunza

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Diamond ni next level
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Diamond ni next level
hoya juu ni ushamba wa kiwango cha standard gauge wallah tena,sasa unaquote mthread wote huo ili iweje kwa mfano!? unadhani sisi hatujaiona au
 
matango pori Madagascar ilikuwa festival kama fiesta hapa kwetu...alafu ile show ya New York aliimbia viti mbona hukuitaja
Kalale diamond platinumz level nyingine hile show ya Madagascar hadi kangi lugola alimpongeza wewe afu unatoka kukojoa unaleta mbwembwe hapa shamelessness
 
ungeambatanisha na mafanikio yako kwa mwaka huu ingekuwa njema sana
 
ww ni mwana WCB kindaki ndaki
 
Yupo vizuri
Sipendi the way anavyo shindwa kujua ni muda gani yeye ni Naseeb na muda gani yeye ni Diamond.
 
Yote tisa ,kumi je kamfanyia nini mola wake na kajiaandaa vipi na kaburi lake maana sio kwa misalaba hio hapo kifuani au ndo usanii na ustaa...dunia mapito mkumbushe ...
 
Diamond ameweka alama Katika mziki wetu Tanzania.. Alama kama mlima kilimanjaro, Diamond ni Urithi wetu, awekwe Makumbusho
 
ungeambatanisha na mafanikio yako kwa mwaka huu ingekuwa njema sana
Ukimaliza kuambatanisha yako nambie na mie nije nkusaidie kukoment... afu ndo ntaambatanisha yangu... akili finyu ni pale unapovamia jukwaa wakati hujui linawahusu watu gani.... Mimi sio celeb... ukitaka ntakuambatanishia lakin sio katika jukwaa hili... hata km hujui kusoma lakin jitahid ujue walau kuona....
 
Labda mafanikio ya kibongo bongo,kina Davido wapo levo za private jet na Mansion.

-Dimondi atoke madale anunue "Low Density" area >3600 sqm ajenge Mansion auze screpa za japan anunue vitu vya mjerumani/muiingereza.

-Awekeze kwenye Manufacturing aache kutumika na kina kusaga kuuza perfume na karanga,aanzishe kiwanda chake hapo ndio tutasema ana mafanikio.

Sijawahi kuona msanii mwenye mafanikio anaishi kwenye kiwanja kama kiganja cha mkono,sijawahi kuona msanii mwenye mfanikio anatembelea screpa za japan zenye zaidi ya km laki moja,sijawahi kuona msanii mwenye mafanikio hana big investiment zaidi ya udananda(uchuuzi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…