Hebu tuyaangazie mafanikio ya Diamond Platnumz mwaka huu wa 2018. Tunaweza pata cha kujifunza

Msanii diamond platnumz ni moja ya wasanii wenye mafanikio sana katika medani ya muziki Tanzania na Afrika kiujumla... safari yake kimziki ilianza miaka tisa iliyopita (2009) baada ya kutoa wimbo wa "nenda kamwambie" ambao ulimtangaza vilivyo na hapo hapo kuchomoza. Mapito yake mpaka alipofikia leo ni makubwa na ya kukatisha tamaa kwa mtu mwenye roho nyepesi... tuachane na hayo twende kwenye maada husika.... Tuangazie katiaka nyanja mbalimbali....

Tukianza na MUZIKI
Kwa mwaka huu diamond kafanya poa sana kimuziki. Kaachia albamu ya A BOY FROM TANDALE ambayo ukisikiliza nyimbo zake mule sio za kitoto... unajua kweli kuna gwiji wa muziki kakaa hapa. Albamu ina ngoma kibao zinazohit mtaan... zikiongozwa na "AFRICAN BEAUTY" Alomshirikisha mwimbaji wa kimarekani Omarion....
Kwenye upande wa kolabo usipime... nadhani kila unayesoma huu uzi unaijua vizuri shida ya KWANGWARU huko mitaani... kuna TIME TO PARTY aliyoshirikishwa na Mr flavour, na hii hitsong ya sasa ambayo wabongo tunaiita homa ya jiji #JIBEBE Idea ya kijana wake Mshedede almaarufu kama Mbosso...View attachment 866166 Moja ya ngoma ambazo mond kafanya na kashirikishwa zkifanya poah sana huko kenya kwnye mtandao wa itunes

View attachment 866174 Master of collabos... 🙌🙌🙌

Tukija upande wa MATANGAZO ya makampuni...
Diamond kasaini mikataba mingi minono minono na makampuni makubwa duniani. Kasaini mkataba na kampuni ya vinywaji ya kifaransa Bellaire... View attachment 866134 Bellaire yenye nembo ya diamond platnumz

Kasaini mkataba na gucci kampuni kubwa duniani la nguo ambao wanavalisha lebo na familia nzima... Gucci
GSM MALLS nazo bado zina mkataba naye... Bado pia dili na Safaricom ya kenya ambayo ni sawa na Vodacom kwa Tanzania.... Anamkataba na kampuni ya Cocacola View attachment 866137 iliyomfanya hadi kutengeneza wimbo spesho wa kombe la dunia wa #COLOURS na Jason derulo...

Kwa upande wa SHOWS...
Mwanzoni tu mwa mwaka huu diamond alipiga show km tatu hivi mfululizo huko Kenya...View attachment 866158 Baadhi ya poster za show huko Kenya

Akaja akapiga show kubwa kabisa Kenya hukohuko siku ya uzinduzi wa albam yake ya " A BOY FROM TANDALE".... alifunika pia kwa kujaza uwanja wa taifa kwenye siku ya kumtambulisha mbosso "MBOSSO DAY"... View attachment 866138 Mbosso day

Mwezi wa tano alienda kwenye show ya ONE MUSIC FEST inayowakutanisha mastaa kibao kutoka Afrika huko London.....
View attachment 866148....

Pia alikuwa na show huko sweden ndani ya mwezi huo huo...
Kama hiyo haitoshi akafanya tour ya albamu yake katika miji kumi huko marekani...View attachment 866140 poster ya show zake zote

Hakukaa akaelekea Mayotte ambako nako akafunika vya kutosha...View attachment 866141

Hakupoa tena huyooo Madagaskar ambako akaenda kujaza uwanja wa mpira...View attachment 866142 show ya mond alojaza uwanja huko madagascar

Hapo bado haitoshi ana show tatu kubwa huko Kanada mwezi wa kumi na moja...View attachment 866143View attachment 866144View attachment 866145

Kuna One music fest dubai inakuja....
Kuna nyingine hv karibuni mwezi huu huko Namibia....View attachment 866150...

Pia kuna wasafi festival tumeambiwa inakuja

Kwenye upande wa BIASHARA
Diamond platnumz ni mmoja ya wasanii wanaoiogopa sana kesho yao.. ndio maana kawekeza sana kwenye mziki wake na nje ya muziki... Ni msanii pekee kwa Afrika mashariki kuwa na Vituo vyake ya habari ambavyo ni Wasafi tv na Wasafi fm...kwa upande wa Afrika wapo wawili tu na yule mnaija Olomide...View attachment 866163
Pia ana karanga zake Diamond karanga ambazo zinafanya poah sana sokoni na kupitia hizo karanga kuna vijana wamebadirisha mpaka maisha yao kwa ofa mbalimbali zinazopatikana humo ambapo zawadi kubwa ya gari iliyotolewa kwa bwana Said wengine walidai imeizid hata ile ya miss Tanzania 😂😂😂...View attachment 866164 kijana akiwa kwenye gari alilojishindia
Ana perfume zake zinazofanya poa sana huko uarabuni... ana lebo ambayo ni miongoni mwa lebo kubwa sana hapa Afrika yenye wasanii A-LIST ARTISTES ambao wana vibao vinavyosumbua sana mitaani... kama Chombo na Pochi nene kutoka kwa Rayvanny, Kwangwaru kwa Harmonize, Nadekezwa yake Mbosso, na Gundu ya Lavalava... Jibebe pia haijasahaulika hapo... ana studio yake binafsi ambayo imefanya poah sana kwa mwaka huu chini ya laizer (magic fingers).... View attachment 866171 Baadhi ya nyimbo za wasanii wa WCB Wasafi zinazofanya vizuri kwenye mtanfao wa boomplay music

Kwenye upande wa JAMII inayomzunguka
Vijana wengi wameinuliwa na diamond katika nyanja mbalimbali.. kuanzia watangazaji wa tv na redio, madansa, wasanii, wapiga picha, walinzi, wafanya usafi, madesigner, watu wa matangazo, nakadharika.... Kuna vijana waliojiajiri kupitia miradi ya diamond karanga na perfume.... Amekuwa piah akiwasaidia watu wanaoishi katika mazingira magumu, wagonjwa na yatima nje na ndani ya Tanzania View attachment 866168 Diamond akiwa huko Rwanda na watoto wenye matatizo ya macho

Bado skendo za ajabuajabu ambazo zimewainua wengi akiwemo Hamisa na wengine wote waliowahi kuhusishwa naye kimahusiano.... Bila kuwasahau wale wenye page za udaku na utube channel zinazotegemea mond afanye kitu ili wapate cha kupost wabust followers na subscribers wao....

Hizo ni baadhi tu ya yale mengi ambayo diamond kafanikisha kujiweka mahali salama.... hapo hatujazungumzia upande wa tuzo zake... kama ile ya mtv ya MVP...
Nominations kwnye afrimma USA vipengele sita na afrimma NAIJA... marry you kufikisha mauzo ya platinum mara sita (6× platinam sales),View attachment 866188

Kuimba mbele ya rais siku ua kuingia kwa ndege yetu pendwa Bombadier.... na ile inshu ya kuwa moja ya wasanii wanne kutoka Afrika ambao Billiboard walisema ni tishio la dunia baadae... wengine ni Wizkid, Davido, na Tiwa sawage View attachment 866187

Kiufupi mondi sio wa kispotispoti sidhan km ataweza poromoka leo au kesho....
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Diamond ni next level
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Diamond ni next level
hoya juu ni ushamba wa kiwango cha standard gauge wallah tena,sasa unaquote mthread wote huo ili iweje kwa mfano!? unadhani sisi hatujaiona au
 
matango pori Madagascar ilikuwa festival kama fiesta hapa kwetu...alafu ile show ya New York aliimbia viti mbona hukuitaja
Kalale diamond platinumz level nyingine hile show ya Madagascar hadi kangi lugola alimpongeza wewe afu unatoka kukojoa unaleta mbwembwe hapa shamelessness
 
ungeambatanisha na mafanikio yako kwa mwaka huu ingekuwa njema sana
 
Msanii diamond platnumz ni moja ya wasanii wenye mafanikio sana katika medani ya muziki Tanzania na Afrika kiujumla... safari yake kimziki ilianza miaka tisa iliyopita (2009) baada ya kutoa wimbo wa "nenda kamwambie" ambao ulimtangaza vilivyo na hapo hapo kuchomoza. Mapito yake mpaka alipofikia leo ni makubwa na ya kukatisha tamaa kwa mtu mwenye roho nyepesi... tuachane na hayo twende kwenye maada husika.... Tuangazie katiaka nyanja mbalimbali....

Tukianza na MUZIKI
Kwa mwaka huu diamond kafanya poa sana kimuziki. Kaachia albamu ya A BOY FROM TANDALE ambayo ukisikiliza nyimbo zake mule sio za kitoto... unajua kweli kuna gwiji wa muziki kakaa hapa. Albamu ina ngoma kibao zinazohit mtaan... zikiongozwa na "AFRICAN BEAUTY" Alomshirikisha mwimbaji wa kimarekani Omarion....
Kwenye upande wa kolabo usipime... nadhani kila unayesoma huu uzi unaijua vizuri shida ya KWANGWARU huko mitaani... kuna TIME TO PARTY aliyoshirikishwa na Mr flavour, na hii hitsong ya sasa ambayo wabongo tunaiita homa ya jiji #JIBEBE Idea ya kijana wake Mshedede almaarufu kama Mbosso...View attachment 866166 Moja ya ngoma ambazo mond kafanya na kashirikishwa zkifanya poah sana huko kenya kwnye mtandao wa itunes

View attachment 866174 Master of collabos... [emoji119][emoji119][emoji119]

Tukija upande wa MATANGAZO ya makampuni...
Diamond kasaini mikataba mingi minono minono na makampuni makubwa duniani. Kasaini mkataba na kampuni ya vinywaji ya kifaransa Bellaire... View attachment 866134 Bellaire yenye nembo ya diamond platnumz

Kasaini mkataba na gucci kampuni kubwa duniani la nguo ambao wanavalisha lebo na familia nzima... Gucci
GSM MALLS nazo bado zina mkataba naye... Bado pia dili na Safaricom ya kenya ambayo ni sawa na Vodacom kwa Tanzania.... Anamkataba na kampuni ya Cocacola View attachment 866137 iliyomfanya hadi kutengeneza wimbo spesho wa kombe la dunia wa #COLOURS na Jason derulo...

Kwa upande wa SHOWS...
Mwanzoni tu mwa mwaka huu diamond alipiga show km tatu hivi mfululizo huko Kenya...View attachment 866158 Baadhi ya poster za show huko Kenya

Akaja akapiga show kubwa kabisa Kenya hukohuko siku ya uzinduzi wa albam yake ya " A BOY FROM TANDALE".... alifunika pia kwa kujaza uwanja wa taifa kwenye siku ya kumtambulisha mbosso "MBOSSO DAY"... View attachment 866138 Mbosso day

Mwezi wa tano alienda kwenye show ya ONE MUSIC FEST inayowakutanisha mastaa kibao kutoka Afrika huko London.....
View attachment 866148....

Pia alikuwa na show huko sweden ndani ya mwezi huo huo...
Kama hiyo haitoshi akafanya tour ya albamu yake katika miji kumi huko marekani...View attachment 866140 poster ya show zake zote

Hakukaa akaelekea Mayotte ambako nako akafunika vya kutosha...View attachment 866141

Hakupoa tena huyooo Madagaskar ambako akaenda kujaza uwanja wa mpira...View attachment 866142 show ya mond alojaza uwanja huko madagascar

Hapo bado haitoshi ana show tatu kubwa huko Kanada mwezi wa kumi na moja...View attachment 866143View attachment 866144View attachment 866145

Kuna One music fest dubai inakuja....
Kuna nyingine hv karibuni mwezi huu huko Namibia....View attachment 866150...

Pia kuna wasafi festival tumeambiwa inakuja

Kwenye upande wa BIASHARA
Diamond platnumz ni mmoja ya wasanii wanaoiogopa sana kesho yao.. ndio maana kawekeza sana kwenye mziki wake na nje ya muziki... Ni msanii pekee kwa Afrika mashariki kuwa na Vituo vyake ya habari ambavyo ni Wasafi tv na Wasafi fm...kwa upande wa Afrika wapo wawili tu na yule mnaija Olomide...View attachment 866163
Pia ana karanga zake Diamond karanga ambazo zinafanya poah sana sokoni na kupitia hizo karanga kuna vijana wamebadirisha mpaka maisha yao kwa ofa mbalimbali zinazopatikana humo ambapo zawadi kubwa ya gari iliyotolewa kwa bwana Said wengine walidai imeizid hata ile ya miss Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]...View attachment 866164 kijana akiwa kwenye gari alilojishindia
Ana perfume zake zinazofanya poa sana huko uarabuni... ana lebo ambayo ni miongoni mwa lebo kubwa sana hapa Afrika yenye wasanii A-LIST ARTISTES ambao wana vibao vinavyosumbua sana mitaani... kama Chombo na Pochi nene kutoka kwa Rayvanny, Kwangwaru kwa Harmonize, Nadekezwa yake Mbosso, na Gundu ya Lavalava... Jibebe pia haijasahaulika hapo... ana studio yake binafsi ambayo imefanya poah sana kwa mwaka huu chini ya laizer (magic fingers).... View attachment 866171 Baadhi ya nyimbo za wasanii wa WCB Wasafi zinazofanya vizuri kwenye mtanfao wa boomplay music

Kwenye upande wa JAMII inayomzunguka
Vijana wengi wameinuliwa na diamond katika nyanja mbalimbali.. kuanzia watangazaji wa tv na redio, madansa, wasanii, wapiga picha, walinzi, wafanya usafi, madesigner, watu wa matangazo, nakadharika.... Kuna vijana waliojiajiri kupitia miradi ya diamond karanga na perfume.... Amekuwa piah akiwasaidia watu wanaoishi katika mazingira magumu, wagonjwa na yatima nje na ndani ya Tanzania View attachment 866168 Diamond akiwa huko Rwanda na watoto wenye matatizo ya macho

Bado skendo za ajabuajabu ambazo zimewainua wengi akiwemo Hamisa na wengine wote waliowahi kuhusishwa naye kimahusiano.... Bila kuwasahau wale wenye page za udaku na utube channel zinazotegemea mond afanye kitu ili wapate cha kupost wabust followers na subscribers wao....

Hizo ni baadhi tu ya yale mengi ambayo diamond kafanikisha kujiweka mahali salama.... hapo hatujazungumzia upande wa tuzo zake... kama ile ya mtv ya MVP...
Nominations kwnye afrimma USA vipengele sita na afrimma NAIJA... marry you kufikisha mauzo ya platinum mara sita (6× platinam sales),View attachment 866188

Kuimba mbele ya rais siku ua kuingia kwa ndege yetu pendwa Bombadier.... na ile inshu ya kuwa moja ya wasanii wanne kutoka Afrika ambao Billiboard walisema ni tishio la dunia baadae... wengine ni Wizkid, Davido, na Tiwa sawage View attachment 866187

Kiufupi mondi sio wa kispotispoti sidhan km ataweza poromoka leo au kesho....
ww ni mwana WCB kindaki ndaki
 
Yupo vizuri
Sipendi the way anavyo shindwa kujua ni muda gani yeye ni Naseeb na muda gani yeye ni Diamond.
 
Yote tisa ,kumi je kamfanyia nini mola wake na kajiaandaa vipi na kaburi lake maana sio kwa misalaba hio hapo kifuani au ndo usanii na ustaa...dunia mapito mkumbushe ...
 
Diamond ameweka alama Katika mziki wetu Tanzania.. Alama kama mlima kilimanjaro, Diamond ni Urithi wetu, awekwe Makumbusho
 
ungeambatanisha na mafanikio yako kwa mwaka huu ingekuwa njema sana
Ukimaliza kuambatanisha yako nambie na mie nije nkusaidie kukoment... afu ndo ntaambatanisha yangu... akili finyu ni pale unapovamia jukwaa wakati hujui linawahusu watu gani.... Mimi sio celeb... ukitaka ntakuambatanishia lakin sio katika jukwaa hili... hata km hujui kusoma lakin jitahid ujue walau kuona....
 
Labda mafanikio ya kibongo bongo,kina Davido wapo levo za private jet na Mansion.

-Dimondi atoke madale anunue "Low Density" area >3600 sqm ajenge Mansion auze screpa za japan anunue vitu vya mjerumani/muiingereza.

-Awekeze kwenye Manufacturing aache kutumika na kina kusaga kuuza perfume na karanga,aanzishe kiwanda chake hapo ndio tutasema ana mafanikio.

Sijawahi kuona msanii mwenye mafanikio anaishi kwenye kiwanja kama kiganja cha mkono,sijawahi kuona msanii mwenye mfanikio anatembelea screpa za japan zenye zaidi ya km laki moja,sijawahi kuona msanii mwenye mafanikio hana big investiment zaidi ya udananda(uchuuzi).
 
Back
Top Bottom