Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Please dont even start (napenda kuwa na amani moyoni) hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa i am so happppppppppppppppppppppppppppppppy kupata sanks toka kwa pain killer
 
mmh kwan ana anachiokijua bas...asi anaringia tu huo URITH WA BABU...babu yake alivyoded alimwachia urith wa dictionary bas weeeeeeeeeee hatulali hatukai...
 
@Maty

hii tabia ya kunisema kaka yako bila hata tahadhari ya PM hii... sawa bana:doh:
 
Please dont even start (napenda kuwa na amani moyoni) hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa i am so happppppppppppppppppppppppppppppppy kupata sanks toka kwa pain killer
we naniii naniiiiiiiiiiiiiii njoooooooooooooooooo njooooo uku wameanza kugo.................maty swetie dont polute yr day
enjoy yr thax beb
eeeehh eeehh mungu wangu
aman ya bwana amaaaaaaaaaaan ya bwana.................ninakupa mkono wa aman .................aman ya bwana
pc pc pc is very crucial....maty ivi una nguo ya sikukuu?mariooooooo alikununulia?
potezea virus.
 
Nooooooooooooo sweet valuu, my sugar konyagi hata wewe ni mstaarabu sana hao tumewatolea mfano tu ila wanaweza kuwa wanaongoza kwa busara (kwa mtazamo wangu)

nimekugongea senks maty,huyu kakangu asprin na babu DC ni wastaarabu sana,kaka asprin karithi ustaarabu kwa babu na mim nimerithi kwa kaka asprin.
najivunia kuwa na kaka kama asprin,ukiachillia mbali issue zake na eliza ni mtu safi sanaaa.kaka yangu asprin ni mfano wa jinsi kidume kinataiwa kuwa.Nampenda sana brutha asprin sababu sijawahi kumuona akijibizana na mtu.
MY KAKA ASPRIN IZ SOO COOL.
LOLs.
 
mmh kwan ana anachiokijua bas...asi anaringia tu huo URITH WA BABU...babu yake alivyoded alimwachia urith wa dictionary bas weeeeeeeeeee hatulali hatukai...

LMAO!!!! Kweli JF inapunguza stress mimi nimecheka mpaka basi
 
Nyamayao leo umenifurahisha sana watu mna maneno nyie lol!!!
 
mmh kwan ana anachiokijua bas...asi anaringia tu huo URITH WA BABU...babu yake alivyoded alimwachia urith wa dictionary bas weeeeeeeeeee hatulali hatukai...

Rose....shuwea shuwea jamani...wengine tupo bado kwa ofc tuna disturb watu na vicheko...umenipa ya kuanzia kumpikia mr pilau la biriani kesho...ntacheka mpaka keshokutwa.
 
hii sredi ni ya DC na Asprin tu?
mimi ni muizraeli wa Yerusalemu.

Mkuu ni raha sana kuamka halafu ukakuta kuna mtu labda amekuwaza usiku kucha...Hope wengine mko nyuma ya vivuli vya hao wababu!
 
nope nope....Maty ndio kamshoneshea mariooo suti ya batiki.
 
Hiyo ni typo au? mbona ukifundishwa huwa huelewi? hiyo ni ticha BANA, UMEKOSEA GRAMA HAPO.

HA HA HA HA Nyie watu leo sijui mmeishaanza kula pilau la iddi mapema kabla ya iddi yenyewe
 
Rose....shuwea shuwea jamani...wengine tupo bado kwa ofc tuna disturb watu na vicheko...umenipa ya kuanzia kumpikia mr pilau la biriani kesho...ntacheka mpaka keshokutwa.

ahhh cheka tu dadangu
vbaya kukwaza watu ...lakin km ni kucheka mbwga we cheka ..ongeza siku +unatoa sumu ya hasira kwa raha zako!!!!!!
laf laf laf...ulaf vzr nakwambia akikuona unalaf vbaya hakawii kukupa mwongozo..atakwambia ukitaka kucheka anza na vowel then malizia na...yeye anajua!!!!!1
 
Nyamayao leo umenifurahisha sana watu mna maneno nyie lol!!!

kuna mijitu inadhani wengine tumeishilia njoro na sumabwanga au nachingwea, wao waliokwea pipa bac ndio wataalamu mpaka watengeneze maini ya binadamu.....nyoooo.
 
yeye mwenyewe ndio yupo perfect chini ya jua...wengine wote mna makosoro/matatizo yenu...kawa malaika?

ndo wwale wanaoringa kwa kujua chingereza
ANASHNDWA KUTOFAUTISHA KATI YA KNWLDGE NA LUGHA.
A:rip::rip::rip: TODAY
NAMTAMAN AJIBU

Salaleee nini tena hapa...........EiD Alhaji waungwana:yield:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…