Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Hiyo furaha lazima wembe upite kwenye hizo underarms leo. Nevertheless ngabu is honored and flattered hahahaaaaa

:tape::tape::tape::tape::tape::tape:
matyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy njooooooooooooo njoooooooooo uku kuna aneno ako!!!!!!!!
 
Rose mpenzi nikutoe tu wasi wasi yaani toka baba chacha alivyonkeraga miaka ile nikahuzunika na kusikitika lakini yakaisha aiseeeeeeeeeeeee ctokuja kuchukia na kuumizwa na kitu chochote tena maishani mwangu mpaka yesu atanikuta na amani. Ndio huwa nahuzunika lakini kidoooooooooooogo then napotezea ctaki imalize hata nusu cku. Kitu kitakachoniumiza labda nikikosa kazi lol hilo kwa kweli ukomavu wangu wote unaweza kupotea lakini haya mengine aaaaaaaaa kawaida tu ila sio siri nimefurahi kupata msg kutoka kwa kila mtu ila ya pain killer imenifurahisha saidi
ilike t
kuwa strong
usikubal bnadamu akakunyima furaha ata siku moja....
MWOMBE MUNGU AKUPE AMAN YA KWELI...NA NADHAN UNAYO AMAN TOKA KWAKE NA SI IZI AMAN TOKA KWA KINA MARIOOO ANAKUPA AMAN MPK UMPE CREDOO NA UMPITSHE SHELL NA TUKUTUKU YAKE...
POA ..I LOVE U.
 
ha ha ha ha ha hapo tu ndo nakupendea maty.. ukweli

ila umemsahau "Burn" lol:nono::nono:
 
umekuja fanya nini apa?
ebu nenda uko kajitayarshe na kikao cha jion....
sut za rr zipo tayar?
hp yale maneno na GY hayajafikishwa!!!!!!!1:A S-baby::A S-baby::A S-baby:
Orait Orait ngoja niandae Kanzu yangu.........Labda GY mwenyewe mimi akuu.....(nnavyo ogopa kusutwa we acha tuu)
nikujibuje? Eid Mubaraka...lol, ucnikosoe tu.....:kiss:
hivyo hivyo tu mamito bora Pilau ilike.....
Kimey kumekucha ngoja mie nikaandae viungo vya pilau Eid Alhaji 2 u 2.:wave:
Pika mamie nije nile JF leo wanatoleana uvivu....(ngoja ninue ndizi kabsaa nikifika kwako ni mkao wa kula tu)
 
Eight pages and counting and still talking about dude....."dat dude" is bad!!!!!
 
Hivi Waziri mkuu ni nani tena?:doh::doh:

Umeanza kuleta stress zako za siasa hapa....panda kwenye majukwaa husika....

Asalam aleykum wote mnaotumia keyboard kumaliza stress zenu....
 
Orait Orait ngoja niandae Kanzu yangu.........Labda GY mwenyewe mimi akuu.....(nnavyo ogopa kusutwa we acha tuu)

hivyo hivyo tu mamito bora Pilau ilike.....

Pika mamie nije nile JF leo wanatoleana uvivu....(ngoja ninue ndizi kabsaa nikifika kwako ni mkao wa kula tu)

Ndizi si unayo kimey ununue tena ya nini.....tena yako yaelekea itakuwa kisukari tamuuuu na haiishi hamu


Angalia asije kukupilau wewe sasa
 
Back
Top Bottom