Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

You deserve appreciation broda na wengine wengi.Napenda jinsi ulivyo

God bless

Senti Lady ze wise. Nlitaka kukubook kaurafiki kumbe tayari uko kwenye listi yangu.

Kwa leo kamata hii nishani ya upendo hapo chini:

The Following User Says Thank You to Wiselady For This Useful Post:
Asprin (Today)
:hippie::hippie::hippie::smile-big::smile-big::smile-big:
 
BAbu Asprin......huyu jirani Maty ndo unasema ndie binti yako aliyekuzalia mjukuu mie?? nianze kumwita mama eh??
 
BAbu Asprin......huyu jirani Maty ndo unasema ndie binti yako aliyekuzalia mjukuu mie?? nianze kumwita mama eh??

Ewaaaaaa.....huyu ndiye alitoroka ukiwa mchanga akaniacha nakulea.... Amerudi na kuniomba msamaha. Nimemsamehe na kumrudisha kumoyo. Kumbuka MAMA HAPIGIWI KURA. kwahiyo huna jinsi, unalazimika kumkubali.
 
Tatizo lako hupendi maslahi yangu. Vidole havilingani....we baki na Rose wako unayesaidiwa na Bigi the Rita.

Kabaila in action.....damn it!
Wapi haki sawa kwa wote....
 
nimekugongea senks maty,huyu kakangu asprin na babu DC ni wastaarabu sana,kaka asprin karithi ustaarabu kwa babu na mim nimerithi kwa kaka asprin.
najivunia kuwa na kaka kama asprin,ukiachillia mbali issue zake na eliza ni mtu safi sanaaa.kaka yangu asprin ni mfano wa jinsi kidume kinataiwa kuwa.Nampenda sana brutha asprin sababu sijawahi kumuona akijibizana na mtu.
MY KAKA ASPRIN IZ SOO COOL.
LOLs.

queen kemi kuna jambo ulifanya ukanidisapoint sana mtu wangu................!
sikuamini kama ni wewe nilizani pepo mchafu kachakachua pass word yako 'that day'............!
lkn bado nina imani kwako kuwa u dada mwenye busara.......................................................!
asprin naomba kuwa shemeji yako huku mkulu.........................!
 
asprin naomba kuwa shemeji yako huku mkulu.........................![/QUOTE]

unaambiwa uchiteme wala uchimumunye mwenzio kafa kaoza kwa yule chocolatey boy.
kama vipi njoo huku kijijini kwetu tukutafutie warembo wa ukweli queen kami anataka wenye kutema ngeli.:smile-big:
 
asante sana Maty.....kuna baadhi ya watu humu wana fustration zao wanakuja kucheulia wengine makande yao na uji wa limao...ovyoo kabisa.

Nyamayao hapa post yako imevunja rekodi, na wenye hiyo tabia nafikiri watakooooooma kabisa wakisoma post yako.
pia nahisi umewahi kuwa walau mwalimu shule za maneo fulani falani ambapo uliweza kupata maneno matamu kama hayo kwa watu watukutu
 
queen kemi kuna jambo ulifanya ukanidisapoint sana mtu wangu................!
sikuamini kama ni wewe nilizani pepo mchafu kachakachua pass word yako 'that day'............!
lkn bado nina imani kwako kuwa u dada mwenye busara.......................................................!
asprin naomba kuwa shemeji yako huku mkulu.........................!

Father X-Mass awe shem wangu?

Jingle bell Jingle bell Jingle all the way.............!

Soma katikati ya mistari hapo afu fanza mahari fasta..:hippie::hippie::hippie:
 
Back
Top Bottom