Hebu wana Simba SC tuacheni Utani, Unafiki na Uongo. Kuna anayependa kweli tukutane na Yanga SC Robo Fainali ya CAFCL?

Hebu wana Simba SC tuacheni Utani, Unafiki na Uongo. Kuna anayependa kweli tukutane na Yanga SC Robo Fainali ya CAFCL?

Yanga wapo vizuri, hope ni kwa Benchika, Simba haifungiki kiwepesi chini yake.
 
Binafsi nisiwafiche kwani sitaki na wala sitamami kwa sasa kwani Kiufundi kwa sasa Simba SC hatuna Kikosi thabiti cha Kucheza na Yanga SC iliyoko Relini na ya Moto kila Idara
Ila thread nyingine!!
 
Vyovyote vile ulivyoelewa, lakini alichoongea ndio ukweli wenyewe, Simba hana timu ya kupishana na Yanga.
Na hakuna mwanasimba ambaye anatamani hii itokee hata mwezi wa 4 ni kama unakuja kwa kasi sana
Ya kwamba Simba wataomba wakutane na Mamerod kuliko wakutane na yanga sio?
Simba na Yanga wakikutana haitakuwa mechi rahisi kwa timu zote mbili .
Suala na Yanga kuifunga simba 5 lili tokea tu kama ambavyo simba aliwahi kuifunga yanga mabao mengi huko nyuma.
 
Yanga anafungika vizuri tu ila timu nyingi zinacheza nayo kwa kufanya makosa yale yale ya kiufundi. Wakati fulani nililazimika kuleta uzi kufundisha jinsi ya kucheza nao maana niliona hayo makosa ya kiufundi yanajirudia kwa timu nyingi.
Haupo serious.
 
Vyovyote vile ulivyoelewa, lakini alichoongea ndio ukweli wenyewe, Simba hana timu ya kupishana na Yanga.
Na hakuna mwanasimba ambaye anatamani hii itokee hata mwezi wa 4 ni kama unakuja kwa kasi sana
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom