Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Si umemwambia umpe zawadi yoyote asa mbona unastuka? Au ulikuwa unabip? [emoji23][emoji23][emoji23]
Zawadi iendane na uwezo, mm hata baiskeli tu sina, sasa hilo gari nitanunulia nn? Au nikipeleka likes za jf napewa? [emoji23][emoji23]
 
Mkiwa rahisi thamani yenu inashuka ndio mwisho wake mnakuja kudhalilishwa.

Inapaswa hadi mje kuonana jasho limemtoka kweli

Wachukue notes kwa Lamomy

Nimemtoa nani jasho mpk wachukue notes kwangu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Me kesho naenda nikaone bmw silijui, nimezoea kuona mwendokasi
 
We sema kweli?
Afu kwenye graduu alikuja kweli?
Coca nitumie pics za graduu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unawazaa pichaa tyuuh.
Mbna mie Graduu sijafanya.
 
Mkipewa pesa mnaenda kununua iPhone. Tena ww una usongo sana na hii iliyotoka iPhone 15

Tukuweke pale kwa lamomy dukani kwake kkoo upige winga ukiweza ndio upate mtaji
Yaan ninunue iPhone 15, huku naunga unga maishaa??
Thubutuuu.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Haya sasa anatafutwa wa kumfunga paka kengele
 
We Jamaa Eti Kama Tupac🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unawazaa pichaa tyuuh.
Mbna mie Graduu sijafanya.

Lete pic usizuge hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua nilikuwepo ile siku, kuna mmoja nusu nimuite we coca!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…