Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Yaishe nisije tena kutaja na mtaa[emoji23]
Nipo gomz ulongoni A [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaishe nisije tena kutaja na mtaa[emoji23]
Wii hebu nipe kibarua Cha kufanya usafi hapo dukani nimechoka kuwa jobless[emoji3]
Basi powa ngoja niongee na lamomyYaan ninunue iPhone 15, huku naunga unga maishaa??
Thubutuuu.
Sio kweli Wii 😀😀Wii achana na mkantry waidi anaoongea vitu asivovijua!! Me niwe na duka ningekuwa naswampa jf? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio duka tu huyo ni mfanyabiashara mkubwa, analo la cosmetics pia kule karibu na kituo cha msimbazi. Asikutanie kabisa[emoji23]Wii hebu nipe kibarua Cha kufanya usafi hapo dukani nimechoka kuwa jobless[emoji3]
Vaa dera[emoji23]Unanimixia mafile tu hata sielewi!!
Emu njoo unisaidie kuchagua nguo ya kesho uko Mlimani city [emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu kausha mkuu....🙊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee usinitajee mie? Hebu mpe picha yangu tena nikiwa nimenyoa ndevu aridhike, ili asipate tabu.
Watu wanataka kunijua na wee unanijua vyedii upo? Unaniangushaa.
Hata ukiambiwa hivyo si unaangaalia na mtu mwenyewe, mm gari niitoe wapi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lini? Cluster ya mwsho ilikua Jana.Lete pic usizuge hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua nilikuwepo ile siku, kuna mmoja nusu nimuite we coca!!
Mbweni block D[emoji23]Nipo gomz ulongoni A [emoji23][emoji23][emoji23]
Ongea nae. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi powa ngoja niongee na lamomy
Basi powa ngoja niongee na lamomy
[emoji23][emoji23][emoji23]Wii achana na mkantry waidi anaoongea vitu asivovijua!! Me niwe na duka ningekuwa naswampa jf? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweli Wii [emoji3][emoji3]
Ukopoa lakini
[emoji23][emoji23]Tutajuaje? We lete gari [emoji23][emoji23][emoji23]
and me too, i need ynuI love you
Sio duka tu huyo ni mfanyabiashara mkubwa, analo la cosmetics pia kule karibu na kituo cha msimbazi. Asikutanie kabisa[emoji23]
Limeisha hiloOngea nae. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vaa dera[emoji23]