Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Kuna mmoja umemsahau anajiita sexless. Kuna wakati ana comment kama dume, sometimes kama Ke
Mkuu hii nimeamini ni midume!

Mademu wa Dar wanavyopenda Mitoko na starehe za bure,hakuna ambaye asingetokea!

Na mimi niko tayari mkuu na nimetenga fungu kwa ajili yao ila huu uzi wanaupita kama wanaaga maiti!
 
Sio kwamba umekosea kuwa approach ? Hebu nenda nao mdg mdg ,mmoja mmoja kwa ofa hiyo hiyo ,uone
 
Mkuu lengo la JF ni kufahamiana!

Kwani hapa JF inakuongezea Value gani?,sana sana unatumia bando kufuatilia mambo ya kijinga naya kipumbavu!.

lakini kuonana na watu ambao kila siku mnachati Jf itakuongezea kitu na hutobaki kama ulivyo!,Utapata Exposure na kukutana na watu wapya!.

Wewe sema huwezi kuja kwasababu

1.Dume
2.Umechoka
3.Umechakaa
4.Umedhohofika
5.Mbaya wa sura na Umbo

haya mambo ni hakika ndiyo yatafanya usitokee!.

Mwanamke mzuri na anayejiamini ataachaje mtoko wa kukutana na Marafiki wapya?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahaha, mnakua mmpiga JD pamoja ,huku mna ongea business

Ila kwann kahisi hao warembo ni madume ,kwamba wamekaa kidume dume ?

Walengwa wa kibiashara huwa tunakua connected automatically

Wala hamna kulazimisha
 
Angalia mwaka niliojiunga humu na kuwa expert member, nimekuta kuna member wengi humu, mpaka leo siwajui ni akina nani na mimi sitaki wanijue ni nani, unaambiwa member wengine ni watu wazito wenye nyidhifa kubwa nchi hii, je kama hao uliowa taq yumo rais wetu, unafikiri unaweza kukutana naye kirahisi? Nimekuambia wengine wakishindwa hoja wanakimbilia kutukana, wanaanzisha ligi ya matusi, ukute ulimshindilia matusi mheshimiwa fulani, how come? Anyway kuna member wanafahamiana humu ndio maana wakiaga dunia wanaowajua huleta taarifa kuwa member fulani hatunaye. Jitahidi mkuu huenda ukawajua hao member, hata mimi hutamani sana niwajue member wa humu, wengine ni watu maarufu katika fani mbalimbali wakiwemo viongozi, wanasiasa, waandishi, wanasheria, wanadini na wengine wengi.
 
Mkuu kwakuwa Mademu wa Dar es Salaam na almost mademu wote karibia tabia hufanana,hivyo nimeandaa fungu la kutosha,najua hawawezi kumaliza mkuu!

Nimeandaa si chini ya Tsh 12 Milioni!

Shemeji tutumie pesa za saloon kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swala lako umelileta kimkakati Haswa na Unavyoonekana umejipanga Haswaa,, Embu endelea kusubiri majibu kutoka Kwa hao wahusika kama na wao wako tayari Kwa huo mtoko wa JF family!!Unahitaji uvumilivu na subraa.

Tunaenda atume pesa za saloon kwanza [emoji23][emoji23]
 
Angalia mwaka niliojiunga humu na kuwa expert member, nimekuta kuna member wengi humu, mpaka leo siwajui ni akina nani na mimi sitaki wanijue ni nani, unaambiwa member wengine ni watu wazito wenye nyidhifa kubwa nchi hii, je kama hao uliowa taq yumo rais wetu, unafikiri unaweza kukutana naye kirahisi? Nimekuambia wengine wakishindwa hoja wanakimbilia kutukana, wanaanzisha ligi ya matusi, ukute ulimshindilia matusi mheshimiwa fulani, how come? Anyway kuna member wanafahamiana humu ndio maana wakiaga dunia wanaowajua huleta taarifa kuwa member fulani hatunaye. Jitahidi mkuu huenda ukawajua hao member, hata mimi hutamani sana niwajue member wa humu, wengine ni watu maarufu katika fani mbalimbali wakiwemo viongozi, wanasiasa, waandishi, wanasheria, wanadini na wengine wengi.
Mkuu wengi humu ni waongo na wanaogopa kuwa Exposed kwasababu kwenyd Avatar zao wanatumia picha za warembo mitandaoni,hivyo wanaona Aibu wakikutana kwa pamoja na wakifahamiana namna kila mmoja atakavyo mcheka mwenzie namna alivyo mbovu wa sura na umbo!.
 
Back
Top Bottom