Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hayo majiti ni invisible huwezi kuyapata, we unachofanya huna cha maana cha kuandika umeamua ufurahishe genge tu. Humu hatujuani nani ni nani ndio maana huwa kuna minyukano mikali ya kihoja mpaka mtu anashindwa kujibu hoja anakimbilia matusi kujihami asipate kibano zaidi kihoja. Hao akina cocastic, demi, to yeye, leejay na wengine wengi wenye muonekano wa kike wasikuzingue na kutaka kujua kama ni wanawake au la. Sisi huwa tunawatuanga kihoja bila kujali jinsia zao
 
Mkuu lengo la JF ni maarifa na kufahamiana pia kupeana Michongo,lengo langu lilikuwa ni jema tu,kufahamiana!.

Kufahamiana mkuu kunasaidia Mambo mengi,huwezi jua naweza kupata kitu kwao na wao wanaweza kuondoka na chochote kwangu!.
 
Mimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini!

Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf.

Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la wao kufanya hivyo ni kitu gani!

Kwakuwa uongo na utapeli hapa Jf umekuwa wa kutosha,naomba kesho niwatoe wafuatao "OUT" ili kujiridhisha kweli kama ni KE na wala siyo ME.

MALENGO

Malengo ya Kutoka Out ni Kufahamiana,Kubadirishana Mawazo na Ku-Enjoy kwa pamoja kama wanafamilia wa JF.

Kwakua watumiaji wengi wanaotiliwa mashaka ni wanaotumia Id zenye majina ya KE,naomba wafuatao ikiwapendeza kesho tutoke wote kama Familia ili niamini kweli ni KE.

1. Jemima Mrembo
2. cocastic
3. MZURI SANA
4. Lamomy
5. Demi
6. To yeye
7. Leejay49
8. Carleen
9. recho Jr
10. Hornet

Kama nilivyosema,lengo ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na Ku-have funny!

ENEO

Eneo ambalo kwangu nahisi litakuwa Karibu na nililolizoea ni pale Mlimani City Samaki- Samaki,Ila nyie mnaweza pia mkapendekeza eneo ambalo mtakuwa mnaona mko- Comfortable kuenjoy.

Nimependekeza hao wanawake kwa siku ya Kesho kwasababu gharama za kuwamudu ninazo,watakula watakacho na kunywa watakacho!.

Nia na Lengo ni kunuondoa huu utata wa kudhani nyie ni madume,naombeni mnidhitishie kwa vitendo hiyo Kesho.

Wengi wenu nafahamu mnao usafiri wenu binafsi lakini itakuwa vema kila mmoja akatumia Uber au Bolt ili tuweze kuwa Comfortable zaidi(Ili wasiokuwa na usafiri wasinisikie vibaya).

Fedha ya Usafiri nitalipia mimi,wala msijali!

Naomba kufahamu ratiba zenu nyote niliowatag ili nijue nafanyaje,nitakapojua ratiba zenu nitapanga muda sahihi wa sisi kukutana pale!.

Lengo si kutongozana wala mambo ya Ajabu,Lengo ni kufahamiana tu!.

Nawasilisha!
Hawa vijana wa Dar wanaotumia majina ya kike ni hawa mashoga wa mujini, wanataka matango na karoti ya kujisweka ile sehemu.
 
Aaah hawa wanaleta ugaigai ..

Sasa rafiki nikishamwonyesha mimi ni mwanamke ananiongezea value gani kwenye maisha?
Mkuu lengo la JF ni kufahamiana!

Kwani hapa JF inakuongezea Value gani?,sana sana unatumia bando kufuatilia mambo ya kijinga naya kipumbavu!.

lakini kuonana na watu ambao kila siku mnachati Jf itakuongezea kitu na hutobaki kama ulivyo!,Utapata Exposure na kukutana na watu wapya!.

Wewe sema huwezi kuja kwasababu

1.Dume
2.Umechoka
3.Umechakaa
4.Umedhohofika
5.Mbaya wa sura na Umbo

haya mambo ni hakika ndiyo yatafanya usitokee!.

Mwanamke mzuri na anayejiamini ataachaje mtoko wa kukutana na Marafiki wapya?
 
Hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom