Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Hebu wanawake wa hapa JF ondoeni huu Mkanganyiko!

Huyo To yeye ni mwanamke, nna ushahidi... tena mzuri tu 😊

Akipata mwanaume serious na akapata matunzo ni bonge la Baby Mama 🤩😍😍😍😋🤤

Siku kukiwa na meeting HOHEHAHE nitaishi maisha kama ya 2pac (ya kujifichaficha, na kuishi kusikojulikana) kutokana na mdomo wangu mchafu wa kutukana hovyo... inabidi nibadilike, maana siku ndugu watanzania niliowahi kuwajeruhi kwa matusi humu watanigawa vipande wakiniona 😅
 
Mimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini!



Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf.

Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la wao kufanya hivyo ni kitu gani!

Kwakuwa uongo na utapeli hapa Jf umekuwa wa kutosha,naomba kesho niwatoe wafuatao "OUT" ili kujiridhisha kweli kama ni KE na wala siyo ME.

MALENGO

Malengo ya Kutoka Out ni Kufahamiana,Kubadirishana Mawazo na Ku-Enjoy kwa pamoja kama wanafamilia wa JF.

Kwakua watumiaji wengi wanaotiliwa mashaka ni wanaotumia Id zenye majina ya KE,naomba wafuatao ikiwapendeza kesho tutoke wote kama Familia ili niamini kweli ni KE.

1. Jemima Mrembo
2. cocastic
3. MZURI SANA
4. Lamomy
5. Demi
6. To yeye
7. Leejay49
8. Carleen
9. recho Jr
10. Hornet


Kama nilivyosema,lengo ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na Ku-have funny!

ENEO

Eneo ambalo kwangu nahisi litakuwa Karibu na nililolizoea ni pale Mlimani City Samaki- Samaki,Ila nyie mnaweza pia mkapendekeza eneo ambalo mtakuwa mnaona mko- Comfortable kuenjoy.

Nimependekeza hao wanawake kwa siku ya Kesho kwasababu gharama za kuwamudu ninazo,watakula watakacho na kunywa watakacho!.

Nia na Lengo ni kunuondoa huu utata wa kudhani nyie ni madume,naombeni mnidhitishie kwa vitendo hiyo Kesho.

Wengi wenu nafahamu mnao usafiri wenu binafsi lakini itakuwa vema kila mmoja akatumia Uber au Bolt ili tuweze kuwa Comfortable zaidi(Ili wasiokuwa na usafiri wasinisikie vibaya).

Fedha ya Usafiri nitalipia mimi,wala msijali!

Naomba kufahamu ratiba zenu nyote niliowatag ili nijue nafanyaje,nitakapojua ratiba zenu nitapanga muda sahihi wa sisi kukutana pale!.

Lengo si kutongozana wala mambo ya Ajabu,Lengo ni kufahamiana tu!.


Nawasilisha!

Wengine mawaziri hao, wengine TEC wapo hapo. Wengine wabunge wa kike na wa kiume. Wengine hapo wajomba zako, wengine wafanya biashara, wengine mama zako. Pengine hata baba'ko yuko hapo.

Wewe humu JF fata mada, usifate fulani.

Akili kubwa huongelea maendeleo.

Akili za kawaida huongelea matukio.

Akili mbovu huongelea watu.
 
Wacha weeeehh! Madam president wa mchongo 😀😀😀🙌🏾
Wengine mawaziri hao wengine TEC wapo hapo. Wengine wabunge wa kike na wa kiume.

Wewe JF fata mada, usifate fulani.

Akili kubwa huongelea maendeleo.

Akili za kawaida huongelea matukio.

Akili mbovu huongelea watu.
 
Back
Top Bottom