TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
- #41
Mkuu tatizo nini?Hizo sio shida zangu.
Halafu hii ni Id tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tatizo nini?Hizo sio shida zangu.
Halafu hii ni Id tu.
#6 na # 10 ,ukiwaona niambie ,nije kuwasalimiaMimi na salamu ni vitu viwili tofauti,salamu zimefanya waafrika wengi wamekuwa masikini!
Hebu nyie mademu wa hapa Jf naomba mniondolee huu utata(Mkanganyiko) ambao unaendelea kunitia wasiwasi humu Jf.
Kumekuwa na utaratibu siku hizi humu Jf hata wanaume kutumia Id za kike,sijajua lengo la wao kufanya hivyo ni kitu gani!
Kwakuwa uongo na utapeli hapa Jf umekuwa wa kutosha,naomba kesho niwatoe wafuatao "OUT" ili kujiridhisha kweli kama ni KE na wala siyo ME.
MALENGO
Malengo ya Kutoka Out ni Kufahamiana,Kubadirishana Mawazo na Ku-Enjoy kwa pamoja kama wanafamilia wa JF.
Kwakua watumiaji wengi wanaotiliwa mashaka ni wanaotumia Id zenye majina ya KE,naomba wafuatao ikiwapendeza kesho tutoke wote kama Familia ili niamini kweli ni KE.
1. Jemima Mrembo
2. cocastic
3. MZURI SANA
4. Lamomy
5. Demi
6. To yeye
7. Leejay49
8. Carleen
9. recho Jr
10. Hornet
Kama nilivyosema,lengo ni kufahamiana,kubadirishana mawazo na Ku-have funny!
ENEO
Eneo ambalo kwangu nahisi litakuwa Karibu na nililolizoea ni pale Mlimani City Samaki- Samaki,Ila nyie mnaweza pia mkapendekeza eneo ambalo mtakuwa mnaona mko- Comfortable kuenjoy.
Nimependekeza hao wanawake kwa siku ya Kesho kwasababu gharama za kuwamudu ninazo,watakula watakacho na kunywa watakacho!.
Nia na Lengo ni kunuondoa huu utata wa kudhani nyie ni madume,naombeni mnidhitishie kwa vitendo hiyo Kesho.
Wengi wenu nafahamu mnao usafiri wenu binafsi lakini itakuwa vema kila mmoja akatumia Uber au Bolt ili tuweze kuwa Comfortable zaidi(Ili wasiokuwa na usafiri wasinisikie vibaya).
Fedha ya Usafiri nitalipia mimi,wala msijali!
Naomba kufahamu ratiba zenu nyote niliowatag ili nijue nafanyaje,nitakapojua ratiba zenu nitapanga muda sahihi wa sisi kukutana pale!.
Lengo si kutongozana wala mambo ya Ajabu,Lengo ni kufahamiana tu!.
Nawasilisha!
Eeh kweli umejiandaa!Ukimaliza tembelea vituo vya mayatima,Mungu atakubariki sana.Mkuu Bajeti yangu kwa ajili ya Hiyo kesho ni Tsh 12 milioni,ili nisije umbuka nikabaki kuja kusimangwa hapa JF!
Mkuu salamu za kiswahili ni Bure ila zinapozeta Muda!Sawa bosi ila salamu ni bure hailipiwi kodi!
Hahahaha,kwani wameitwa wote ?Wanawake wa jf mkuje.
Tatizo sio shida zangu.Mkuu tatizo nini?
🤣changamkia fursa Leejay ndugu yanguUsiwaze ngoja niweke mambo sawa hapa nitakujuza kiongozi
Na walivyo wajanjaUtawezaje kujua kama waliokuja ndio hao hao wenye ID hizo? Wanaweza kumtumia demu yeyote aje hapo na aseme yeye ni xyz sasa wewe utamjuaje kama ni kweli xyz wa jamii forum?
Unaogopa mizinga wewe!🙉🙉Mkuu salamu za kiswahili ni Bure ila zinapozeta Muda!
Kasema wanawake,itakuwa wote wa jf.Hahahaha,kwani wameitwa wote ?
Kwahiyo hata wewe unatumia ID ya kike?Hicho kitakuwa ni kikao cha akina baba, maana hao uliowatag wote wanatumia tu ID za kike.
Nani kakwambia humu kuna wanawake!? humu kuna wanaotumia ID za kike.
Mkuu mimi nina maswali ya ki - Qustionare,lazima nitajua na watakaokuwepo watafamu tu!Utawezaje kujua kama waliokuja ndio hao hao wenye ID hizo? Wanaweza kumtumia demu yeyote aje hapo na aseme yeye ni xyz sasa wewe utamjuaje kama ni kweli xyz wa jamii forum?
Hahahahaha,kwamba yukojeKuna mmoja hapo kama wewe hutatoka nduki basi utajikuta unaishiwa nguvu, halafu yeye atajibu haloooooo! Si ulijifanya unayawezaaa!
Mleta mada hana mashaka na wewe😅Mimi nimetemwa na mfumo
Hujui kutofautisha?Kwahiyo hata wewe unatumia ID ya kike?
Mbn kaweka na majina ya wahusikaKasema wanawake,itakuwa wote wa jf.