Hebu wataalamu tusaidie kusoma picha hii halafu tueleze umegundua changamoto gani?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
How many issues May you observe...

Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya mwezi mmoja.

Sasa huyu bibie ana experience kukosa hedhi for takriban 6 months na akipata anakaa nayo up to 2 months consecutively...ana ana experience anaemia...na headache kwenye utosi sana.

Kuna haja ya kufanya ultra sound tena...kucheck vizuri kunani hasa?

IMG-20230602-WA0186~2.jpg
 
How many issues May you observe...

Because the patient feels pains below the belly button left...chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi...akamwambia tu just ana mimba ya mwezi mmoja.

Sasa huyu bibie ana experience kukosa hedhi for takriban 6 months na akipata anakaa nayo up to 2 months consecutively...ana ana experience anaemia...na headache kwenye utosi sana.

Kuna haja ya kufanya ultra sound tena...kucheck vizuri kunani hasa?
View attachment 2645763
Habari!

Huyu ni mgonjwa ambaye anatakiwa kuonwa na daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama au experienced dokta mwenye utulivu.

Hali halisi ya mgonjwa/clinical findings iweze kulinganishwa na matokeo ya vipimo vyake. Nikichukua tahadhali tarehe ya mwisho wa kuanza kwa hedhi ya mwisho, kiasi cha maumivu na kinachoonekana na anaemia pia.

Uwepo wa Gestation sac, hauwezi kuondoa uwezekano wa matatizo mengine yaambatanayo na uzazi/ujauzito. Ukitilia maanani maumivu ya tumbo.

Umri wa ujauzito ni matokeo ya upimaji wa gestation sac size au head circumference, femur length na abdominal size kulingana na umri husika, ambavyo havipo kwenye image pia. Ambayo pia ingesaidia kujua nini kinaendelea pia.
 
Kwahiyo huyu Daktari alipuyanga...?
 
Kwahiyo huyu Daktari alipuyanga...?
Hakuna hitimisho:

1: Taarifa za Ultrasound hazionekani zote, si picha tu inayohitajika. Kuna maelezo pale kulia ni muhimu.

2: Majibu ya Ultrasound yanatakiwa kutafsiriwa kwa kujumuisha historia kamili na ukaguzi/examination ya mgonjwa husika.

3: Kiasi cha maumivu ya mgonjwa bado pia ni muhimu, kinaweza kuwa na maana kubwa kuliko ultrasound. Wakati mwingine mtu akiona mfuko wa uzazi ndani ya mji wa mimba ana relax hasa kama hana historia ya mgonjwa husika, tunasahau issue za twin. ?inn and out?

NB: Mtu anaweza kukaa na mhusika, ukashangaa wakaongea hatua kwa hatua ukakuta hata kukosa siku si kama unavyoisema hapo.

Mpe nafasi daktari amsikilize, amkague na aunganishe na vipimo.
 
How many issues May you observe...

Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya mwezi mmoja.

Sasa huyu bibie ana experience kukosa hedhi for takriban 6 months na akipata anakaa nayo up to 2 months consecutively...ana ana experience anaemia...na headache kwenye utosi sana.

Kuna haja ya kufanya ultra sound tena...kucheck vizuri kunani hasa?

View attachment 2645763
Tafuta gyno mzuri, hiyo shida itaisha
 
Back
Top Bottom