AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Approximately how long...?Naona kama kitoto tumboni
Anything else..? Na kama hakuna what is possible cause of the stated symptoms..?Naona kama kitoto tumboni
Habari!How many issues May you observe...
Because the patient feels pains below the belly button left...chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi...akamwambia tu just ana mimba ya mwezi mmoja.
Sasa huyu bibie ana experience kukosa hedhi for takriban 6 months na akipata anakaa nayo up to 2 months consecutively...ana ana experience anaemia...na headache kwenye utosi sana.
Kuna haja ya kufanya ultra sound tena...kucheck vizuri kunani hasa?
View attachment 2645763
Kwahiyo huyu Daktari alipuyanga...?Habari!
Huyu ni mgonjwa ambaye anatakiwa kuonwa na daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama au experienced dokta mwenye utulivu.
Hali halisi ya mgonjwa/clinical findings iweze kulinganishwa na matokeo ya vipimo vyake. Nikichukua tahadhali tarehe ya mwisho wa kuanza kwa hedhi ya mwisho, kiasi cha maumivu na kinachoonekana na anaemia pia.
Uwepo wa Gestation sac, hauwezi kuondoa uwezekano wa matatizo mengine yaambatanayo na uzazi/ujauzito. Ukitilia maanani maumivu ya tumbo.
Umri wa ujauzito ni matokeo ya upimaji wa gestation sac size au head circumference, femur length na abdominal size kulingana na umri husika, ambavyo havipo kwenye image pia. Ambayo pia ingesaidia kujua nini kinaendelea pia.
Hakuna hitimisho:Kwahiyo huyu Daktari alipuyanga...?
Tafuta gyno mzuri, hiyo shida itaishaHow many issues May you observe...
Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya mwezi mmoja.
Sasa huyu bibie ana experience kukosa hedhi for takriban 6 months na akipata anakaa nayo up to 2 months consecutively...ana ana experience anaemia...na headache kwenye utosi sana.
Kuna haja ya kufanya ultra sound tena...kucheck vizuri kunani hasa?
View attachment 2645763