Polisi hawajamkamata? Maana hawana dogo.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameitembelea familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Iringa, Frank Nyalusi aliyefariki Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa akipatiwa matibabu.
Soma: Frank Nyalus afariki dunia
Heche ambaye hakuhudhiria mazishi hayo, amefika Iringa kutembelea familia ya Marehemu Frank Nyalusi na kuweka shada la maua kwenye kaburi lake, katika Mtaa wa Mtatifikolo, Kata ya Mwangata.
View attachment 3563376
View attachment 3563377
We takataka umesahauMungu Ibariki Chadema
Usiwe na muache Tabia ya kushangilia Vifo kana kwamba ninyi hamtakufa.Mungu Ibariki Chadema
Kuna mtu anasema hatokufa?Usiwe na muache Tabia ya kushangilia Vifo kana kwamba ninyi hamtakufa.
Sote ni wa Mungu na Mavumbini Tutarejea kila mmoja kwa wakati wake.
Hizi akili ulianza lini kuwa nazo.Usiwe na muache Tabia ya kushangilia Vifo kana kwamba ninyi hamtakufa.
Sote ni wa Mungu na Mavumbini Tutarejea kila mmoja kwa wakati wake.
Mi CHADEMA huwa mnahisi hamtakufa na ndio maana huwa mnashangilia vifo.Kuna mtu anasema hatokufa?
Nenda kaomboleze nguruwe wenu lukuviMi CHADEMA huwa mnahisi hamtakufa na ndio maana huwa mnashangilia vifo.
Hii dhana potoshi... Hakuna mwanachadema anayedhani hatokufa.Mi CHADEMA huwa mnahisi hamtakufa na ndio maana huwa mnashangilia vifo.
Wazungu washabarikiwaWe takataka umesahau
Umewasahau na wazungu