4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Acheni ujinga , kama lengo nikupoteza mwelekeo wa kwenda mahakamani kusikiliza kesi ,Heche amekusanya wanachadema wakafanye vurugu Mahakama ya Kisutu, acha wamchekeche.
Wenzake wanapeana shift kazini, yeye yuko peke yake.
Kama lengo ni kuchanganya watu kwenda mahakamani , wameisha feli pakubwa ,chadema ni kubwa ,wakwenda mahakamani wataenda ,na kumfuatilia pia mh heche alipo watafuatila , haya mambo ni ya fedhea sanaWakuu,
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay
View attachment 3313853
View attachment 3313856