Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
UWT imejaa majitu majinga kama hayoUnagongwa wewe sio bure
UWT imejaa majitu majinga kama hayoUnagongwa wewe sio bure
Mbowe alishaingia kwenye mfumo, alishachoka, aliona vita ni kubwa bora kwenda nao sawa.Lissu ndo kafanya zionekane utapeli. Mbowe alifanikiwa kufanya maridhiano na hali ikawa shwari, sasa mmeleta huyu mhaini kavuruga kila kitu.
Unesoma tarehe iliyoandikwa.?Ccm kimekuwa chama cha kifashist .
Sasa juzi nimeona picha kuna kiongozi wao kaenda kuhudhuria mkutano wa kupinga ufashist.
CCM waache unafki
Wanakera...mnoAcha kutukana vibamia wewe, siyo vibamia wote ni polisi wengine ni viongozi wako kabisa na wana vibamia.
Haya mambo kama anaelekzea mama mwenyewe anakosea sana, kama wanafanya washauri wake ni kwamba hawana akili kabisa.Wakuu,
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay
View attachment 3313853
View attachment 3313856
Polisi wa Tanzania sio binadamu wa kawaidaHivi polisi huwa ni binadamu kabisa kama binadamu wengine?
Ni watu makatili balaaPolisi wa Tanzania sio binadamu wa kawaida
Embu anglia hiyo clip hapo chini.
Halafu linganisha wanachofanya.
www.facebook.com
Watamuachia tu.Wakuu,
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay
View attachment 3313853
View attachment 3313856
Hatersuko sahihi nami nimeliona kuna fomula moja ya ku-calculate acute angle anakosea ili ku-solve namna ya ku-deal na hao jamaa ngoja baada ya kesi nitamtafuta japo nasikia wamemdaka tena huko
You are just a hater, Heche ni kiongozi wa Umma mwenye Heshima zake.Heche mpaka sasa hajatambua anatakiwa kuishi kibunifu sana na jeshi la polisi
Yani chadema ndo mnapelekewa moto afu ety mnaongoza 3 😂 endeleeni kutiana moyo keyboard warriorshadi sasa chadema wanaongoza 3:0 dhidi ya utawala wa saa100 na policccm
We jamaa bwana hujapona tangu march 2021Yani chadema ndo mnapelekewa moto afu ety mnaongoza 3 😂 endeleeni kutiana moyo keyboard warriors
Nambie hizo bao 3 mmezipataje, mana Nyie ndo kila siku mnaita press kulialiaWe jamaa bwana hujapona tangu march 2021
Ni binadamu wenye akili zinazoongozwa na remote controlHivi polisi huwa ni binadamu kabisa kama binadamu wengine?
Mtu aliye na maji ya kunywa na simu mkononi ndio anaenda kuanzisha fujo kwenye sehemu ambayo liko kundi la mamia ya wajinga walio na silaha za moto kuanzia barabarani mpaka lango la mahakama?Heche amekusanya wanachadema wakafanye vurugu Mahakama ya Kisutu, acha wamchekeche.
Wenzake wanapeana shift kazini, yeye yuko peke yake.