kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
umeshatoka kisarawe kwa magotiHata wasipotangaza, mawasiliano yao yote yako katika central processing unit, na pia ndani yao, ndani Sana ya chadema, kuna watu wa mfumo, na huwa wanashiriki vikao mpaka kamati kuu