4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Acheni ujinga , kama lengo nikupoteza mwelekeo wa kwenda mahakamani kusikiliza kesi ,Heche amekusanya wanachadema wakafanye vurugu Mahakama ya Kisutu, acha wamchekeche.
Wenzake wanapeana shift kazini, yeye yuko peke yake.
Kama lengo ni kuchanganya watu kwenda mahakamani , wameisha feli pakubwa ,chadema ni kubwa ,wakwenda mahakamani wataenda ,na kumfuatilia pia mh heche alipo watafuatila , haya mambo ni ya fedhea sanaWakuu,
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay
View attachment 3313853
View attachment 3313856
Ili wawauwe kimafia kimya kimya? Bora kutangaza na kuwa expose ili kuzuia nia ovu.Msiwe mnatangaza, tatizo lenu hamna simile
Anaenda kufanya uhalifu gani mahakamani wewe? Wangekuwa wana uwezo wa kufanya uhalifu mngeweza kuwakamata?Huyo alikuwa anaenda kufanya uhalifu
Mkuu achana jibizana na laana ya nchi (machawa)Anaenda kufanya uhalifu gani mahakamani wewe? Wangekuwa wana uwezo wa kufanya uhalifu mngeweza kuwakamata?
Lissu ndo kafanya zionekane utapeli. Mbowe alifanikiwa kufanya maridhiano na hali ikawa shwari, sasa mmeleta huyu mhaini kavuruga kila kitu.4Rs ni UTAPELI
Acha kutukana vibamia wewe, siyo vibamia wote ni polisi wengine ni viongozi wako kabisa na wana vibamia.Police shenzi kabisa vibamia nyie
mbowe alikuwa mchuuziLissu ndo kafanya zionekane utapeli. Mbowe alifanikiwa kufanya maridhiano na hali ikawa shwari, sasa mmeleta huyu mhaini kavuruga kila kitu.
Ni kweli! Anayepuuza upinzani wa harakati kwa nchi za Kiafrika atakuwa na matatizo.Viongozi hawa wa CHADEMA wa sasa wataikimbiza hii serekali dhalimu ya ccm, hata wale walaji watakula kwa kificho......
Heche amekusanya wanachadema wakafanye vurugu Mahakama ya Kisutu, acha wamchekeche.
Wenzake wanapeana shift kazini, yeye yuko peke yake.
Wewe huna akiliHeche amekusanya wanachadema wakafanye vurugu Mahakama ya Kisutu, acha wamchekeche.
Wenzake wanapeana shift kazini, yeye yuko peke yake.
siku ya kuitapika ipoPolisi wanazidi kuimeza hii ndoana ya Chadema
Unagongwa wewe sio bureHeche amekusanya wanachadema wakafanye vurugu Mahakama ya Kisutu, acha wamchekeche.
Wenzake wanapeana shift kazini, yeye yuko peke yake.
Kuna kazi,naiona Tanzania ikipitia nyakati ngumu Sana.