PreGE2025 Heche akamatwa na polisi, apelekwa kituo cha polisi Oysterbay

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alikuwa anaenda wapi?
 
Hata wasipotangaza, mawasiliano yao yote yako katika central processing unit, na pia ndani yao, ndani Sana ya chadema, kuna watu wa mfumo, na huwa wanashiriki vikao mpaka kamati kuu
Inawezekana hata kukamatwa kwake pale Selander Bridge aliyemchoma yuko naye ndani ya gari yake.
 
Wazae naye yuko na joto wiki yote hii.
 
Samia ancheza ngoma ya Lisu muda wote. Sidhani kama anawaza kitu kingine zaidi ya Lisu.
Huyu mwanamke ni empy kabisa........anatuharibia nchi yetu Watanganyika.......Mama kiazi kwelikweli sijapata kuona halafu inashangaza sana bado watanganyika hawajafunguka kifikra,,,,,huyu mtu ana agenda mbaya sana na ukizingatia ile mikataba aliosaini na waarabu wake ndio kabisa inamnyima amani......tuendelee kumuomba sana Mungu
 
Wamvunje ht kiuno kimoja tu aheshimu vyote vya dola na ajue nchi hii ina uongozi. Hiyo siyo siasa huo ni uhaini wa wazi wasicheke na hao kima, ukidharau mwiba mguu huota tende
 
Mipoliccm ndiyo inapenda kweli kufanya shughuli za aina hii, kuliko yale majukumu yao ya msingi.
 
Hata wasipotangaza, mawasiliano yao yote yako katika central processing unit, na pia ndani yao, ndani Sana ya chadema, kuna watu wa mfumo, na huwa wanashiriki vikao mpaka kamati kuu
Ambao ndio wanaisaidia ccm iendelee kutawala kwa ushindi feki.
 
Mkuu achana jibizana na laana ya nchi (machawa)
Kabisa yaani mtu asibishane na kichaa, wala nyuzi zao hakuna kuchangia. Waache wajiongeleshe wenyewe.

Nacheka kama huyo anajifanya anajua eti mifumo ndani ya polisi, hakuna analojua nakuhakikishia ni kachokoraa tu, kanakuja humu kuchemsha watu. Ni takataka tu. Watu waache kuwajibu.
 
Heche amekusanya wanachadema wakafanye vurugu Mahakama ya Kisutu, acha wamchekeche.

Wenzake wanapeana shift kazini, yeye yuko peke yake.
Unaweza kwa kutumia shithole mwanangu!
 
Kati ya taasisi zinazotakiwa kufumuliwa na kuundwa upya ni hii ya polisi.

Inaliaibisha taifa na watawala wake kuanzia utendaji hadi kule mahakamani kwenye kesi.
 
Ataifuatilia kesi kwenye mtandao pale oysterbay watamuwekea wifi ajinafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…