Heche anapeleka wapi hela anazotafuna? Nyumba anayojenga haiendani na hela zinazotajwa kutafunwa

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii nyumba ya mtu wa kipato cha kawaida.

HECHE ANAPELEKA WAPI PESA ANAZOZIFUJA KWENYE CHAMA CHAKE? Au kawekeza kwenye papuchi? Aliyepost hii nyumba atasababisha tuhuma dhidi ya Heche zipungue uzito. Watu wanaweza kudhani anasingiziwa.

View: https://www.instagram.com/p/Da0Yt3tiA4k/?img_index=2&igsh=MTl3bGU0M3IwenBjbA==
 
Hizi media zina wapumbavu wengi. Akili hizi zilianza enzi za wana mtandao na JK huku Tido akiwa BBC.

story ya kizushi, ikapikw BBC ikatangazwa Jumamosi jioni, Jumatatu asubuhi, magazeti yote yana headline inayofanana mpaka koma, JK ashinda kura za maoni!.

Leo kipeperushi hiki kimepelekwa kwa "Media" zote kikiwa na maudhui ya aina moja, kana kwamba zote zimeandikwa na mtu mmoja na kuhaririwa na mhariri mmoja, kabla ya kusambazwa!
 
Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii nyumba ya mtu wa kipato cha kawaida.

HECHE ANAPELEKA WAPI PESA ANAZOZIFUJA KWENYE CHAMA CHAKE? Au kawekeza kwenye papuchi? Aliyepost hii nyumba atasababisha tuhuma dhidi ya Heche zipungue uzito. Watu wanaweza kudhani anasingiziwa.

View: https://www.instagram.com/p/Da0Yt3tiA4k/?img_index=2&igsh=MTl3bGU0M3IwenBjbA==

Wewe una laana ya kusaga wanawake wenzako na unakunywa pombe halafu unajifanya Muislam safi.
 
Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii nyumba ya mtu wa kipato cha kawaida.

HECHE ANAPELEKA WAPI PESA ANAZOZIFUJA KWENYE CHAMA CHAKE? Au kawekeza kwenye papuchi? Aliyepost hii nyumba atasababisha tuhuma dhidi ya Heche zipungue uzito. Watu wanaweza kudhani anasingiziwa.

View: https://www.instagram.com/p/Da0Yt3tiA4k/?img_index=2&igsh=MTl3bGU0M3IwenBjbA==

..maana yake hajatafuna fedha zozote.

..huu mradi wenu ulisambaratika baada ya Nilesh na Shekhe Alhad kukanusha kuwa Heche amepewa pesa.
 
Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii nyumba ya mtu wa kipato cha kawaida.

HECHE ANAPELEKA WAPI PESA ANAZOZIFUJA KWENYE CHAMA CHAKE? Au kawekeza kwenye papuchi? Aliyepost hii nyumba atasababisha tuhuma dhidi ya Heche zipungue uzito. Watu wanaweza kudhani anasingiziwa.

View: https://www.instagram.com/p/Da0Yt3tiA4k/?img_index=2&igsh=MTl3bGU0M3IwenBjbA==

Unaa mtaacha lini enyi viumbe wa dunia hii?
 
ni vizuri ifahamike wazi kua huyo muungwana ni addict wa kubeti na mambo ya kwenye macasino, na hata pension yake yote ya ubunge iliishia huko.

lakini pia,
majuzi tu alishindwa kuikomboa Crown yake TRA. Na kwahivyo,
upo uwezekano mkubwa sana kua pesa kiasi za ufisadi alilipia crown yake TRA, lakini peaa mingi zinaoshia kwenye kamari na kujirusha kwenye macasino 🐒
 
Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii nyumba ya mtu wa kipato cha kawaida.

HECHE ANAPELEKA WAPI PESA ANAZOZIFUJA KWENYE CHAMA CHAKE? Au kawekeza kwenye papuchi? Aliyepost hii nyumba atasababisha tuhuma dhidi ya Heche zipungue uzito. Watu wanaweza kudhani anasingiziwa.

View: https://www.instagram.com/p/Da0Yt3tiA4k/?img_index=2&igsh=MTl3bGU0M3IwenBjbA==

Yaani Mtu anatafuna hela halafu unauliza zinaenda wapi?
 
Mtahangaika sana,na haitasaidia chochote. Mara wa Babeli lazima uanguke tuu!
 
Nyumba haiendani na tuhuma anazopewa ni ya kawaida saana, sema hoja ijibiwe kala au hajala
 
Back
Top Bottom