Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii nyumba ya mtu wa kipato cha kawaida.
HECHE ANAPELEKA WAPI PESA ANAZOZIFUJA KWENYE CHAMA CHAKE? Au kawekeza kwenye papuchi? Aliyepost hii nyumba atasababisha tuhuma dhidi ya Heche zipungue uzito. Watu wanaweza kudhani anasingiziwa.
View: https://www.instagram.com/p/Da0Yt3tiA4k/?img_index=2&igsh=MTl3bGU0M3IwenBjbA==
Ushahidi wa alivyomemena hizo hela u-wapi?