MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
- Thread starter
-
- #41
Acha kunililia hapa mimi sio babako.Sijui una level Gani haswa ya elimu?
Nafikiri hukawahi kufanya utafiti wa kitaaluma maishani mwako?
Hili swali inatakiwa uwahoji wanaomtuhumu heche? Tena ulinganishe kwanza na zile nyumba za mafisadi wa ccm kule mbweni
Samia na wenzake kina majaliwa na January mbweni karibu na malindi? Je zinalingana na ya heche?
Je ulishawahi kuhoji wale mafisadi wa ccm pesa walipata wapi?
Ile nyumba ya mwana FA unalijua? Pesa alipata wapii
Ujihoji kwanza haya maswali
Inabidi ajenge nyumba masaki au osterbay,weka namba tumchangieHii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii nyumba ya mtu wa kipato cha kawaida.
HECHE ANAPELEKA WAPI PESA ANAZOZIFUJA KWENYE CHAMA CHAKE? Au kawekeza kwenye papuchi? Aliyepost hii nyumba atasababisha tuhuma dhidi ya Heche zipungue uzito. Watu wanaweza kudhani anasingiziwa.
View: https://www.instagram.com/p/Da0Yt3tiA4k/?img_index=2&igsh=MTl3bGU0M3IwenBjbA==
Comeback ya kibabe,Kama anatafuna, maana yake pesa zinaenda tumboni.
Sema lingine.
Kama anatafuna, maana yake pesa zinaenda tumboni.
Sema lingine.
Bilioni 40 za kagoda limited zilitumikaje?ni vizuri ifahamike wazi kua huyo muungwana ni addict wa kubeti na mambo ya kwenye macasino, na hata pension yake yote ya ubunge iliishia huko.
lakini pia,
majuzi tu alishindwa kuikomboa Crown yake TRA. Na kwahivyo,
upo uwezekano mkubwa sana kua pesa kiasi za ufisadi alilipia crown yake TRA, lakini peaa mingi zinaoshia kwenye kamari na kujirusha kwenye macasino 🐒