Heche anataka sera ya muafaka? amuomba Samia awaite mezani waongee

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Lissu akitoka segereMatata anaweza kumfukuza John Heche kwa usaliti.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan bado ana muda wa kuyaita makundi mbalimbali ya kisiasa mezani ili kufanya mabadiliko kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Heche amesema hayo akizungumza kupitia jukwaa la mtandaoni la Baraza la Kidijitali la chama hicho siku ya Jumatano Agosti 27, 2025.

"Tuna muda, na Rais Samia bado ana muda wa kuita watu mezani, wakazungumza na wakabadilisha hali hii ili tushindane kwa haki", ameeleza Heche.
 
Kamwambie msajili afungie na hii DIGITAL BARAZA SASA
 
Wewe kiharage unahangaika sana na Chadema au mumeo hajakisugua vizuri leo ?
 
Pole pole anasema Kuna watu wako masaki , kazi yao ni kusifu na kuabudu binadamu mwenzao
 

..Heche anasisitiza vyama vishindane kwa HAKI.
 
What a wasted manii
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…