Heche anataka sera ya muafaka? amuomba Samia awaite mezani waongee

Lissu akitoka segereMatata anaweza kumfukuza John Heche kwa usaliti.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan bado ana muda wa kuyaita makundi mbalimbali ya kisiasa mezani ili kufanya mabadiliko kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Heche amesema hayo akizungumza kupitia jukwaa la mtandaoni la Baraza la Kidijitali la chama hicho siku ya Jumatano Agosti 27, 2025.

"Tuna muda, na Rais Samia bado ana muda wa kuita watu mezani, wakazungumza na wakabadilisha hali hii ili tushindane kwa haki", ameeleza Heche.
View attachment 3455226
Usaliti gani apo amefanya, Chadema inataka maridhiano ili hoja za za kubadilishwa kwa mifumo ya uchaguzi na katiba itekelezwe au mnataka aseme watu tushike mapanga na sime tuingie barabaran kuyadai hayo ili na yeye mum'bambikizie kesi mkamtese. Msenge mtoa post
 
Lissu akitoka segereMatata anaweza kumfukuza John Heche kwa usaliti.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan bado ana muda wa kuyaita makundi mbalimbali ya kisiasa mezani ili kufanya mabadiliko kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Heche amesema hayo akizungumza kupitia jukwaa la mtandaoni la Baraza la Kidijitali la chama hicho siku ya Jumatano Agosti 27, 2025.

"Tuna muda, na Rais Samia bado ana muda wa kuita watu mezani, wakazungumza na wakabadilisha hali hii ili tushindane kwa haki", ameeleza Heche.
View attachment 3455226
Asiwe nawasiwasi tutawaita baada ya uchaguzi ilisasa twende kuunda katiba mpya maisha yaendelee ilakwasasa tupo nakampeni baadae uchaguzi asiturudishe nyuma
 
Hii Nchi ni yetu sote na sisi sote tutakufa tu one day !
Kwahiyo hata wakizungumza ni sawa tu !
Hii ni Nchi yetu sote !
Hatutaki uonevu ! Fullstop 🛑 ✋ 😳 !
 
Back
Top Bottom