Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
mbona unachekacheka hovyo?ππ
Msajili anatumika vby na yake ma timu utekaji.Msajili apuuzwe tu hakuna namna,Hili nalo ni ponjoro la mama
Amani na Furaha hatuko vitani mankambona unachekacheka hovyo?
Hii sio tabia ya uanaume
Heri meko kavu pamoja na utulivu.. Huko kwa jirani kumechacha kukachachukaMakamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya kikao hicho Makamu Mwenyekiti atatoa maazimio ya kikao hicho leo tarehe 03 Juni 2025 saa 11 jioni, waandishi wa habari mnakaribishwa.
Soma pia: Chadema kuijadili barua ya Msajili Juni 3, 2025
View attachment 3354616
View attachment 3354617View attachment 3354618View attachment 3354619
Kwani wanatakiwa kua wangapi Jumla labda tusaidie na sisii??ππ
Kamati kuu Wajumbe 12 kama Mitume
Ni heri kupambania haki yako kwa miezi 6 kuliko kupata tabu ya miaka 5Heri meko kavu pamoja na utulivu.. Huko kwa jirani kumechacha kukachachuka
Katiba inasema 50Kwani wanatakiwa kua wangapi Jumla labda tusaidie na sisii??
Mtume ni mmoja tuππ
Kamati kuu Wajumbe 12 kama Mitume
Kwa hiyo jioni hiyo Chaumma haitafatiliwa watu wote watakua na Chadema.. Bonge la tekinikiMakamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya kikao hicho Makamu Mwenyekiti atatoa maazimio ya kikao hicho leo tarehe 03 Juni 2025 saa 11 jioni, waandishi wa habari mnakaribishwa.
Soma pia: Chadema kuijadili barua ya Msajili Juni 3, 2025
View attachment 3354616
View attachment 3354617View attachment 3354618View attachment 3354619
sawa Kuruthumu lakini kumbuka amani ni tunda la hakiAmani na Furaha hatuko vitani manka
Hayakuhusuππ
Kamati kuu Wajumbe 12 kama Mitume
Embu tuwekee hicho kifungu cha katiba kinachoelekeza hivyoKatiba inasema 50
Watatuvusha mkuu wao yuko gerezaniππ
Kamati kuu Wajumbe 12 kama Mitume
Umeulizwa au ni umbeya tu wa kikeππ
Kamati kuu Wajumbe 12 kama Mitume
Hicho ni kikundi cha wavuta bangi tu hakuna cha kamati kuuMakamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.