Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
We unaumwa uwahishwe hospitalini,Msajili apuuzwe tu hakuna namna,Hili nalo ni ponjoro la mama
We unaumwa uwahishwe hospitalini,Msajili apuuzwe tu hakuna namna,Hili nalo ni ponjoro la mama
Hawa jamaa si walisema hawababaishwi na Msajili wala nini? Sasa kikao cha nini?Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya kikao hicho Makamu Mwenyekiti atatoa maazimio ya kikao hicho leo tarehe 03 Juni 2025 saa 11 jioni, waandishi wa habari mnakaribishwa.
Soma pia: Chadema kuijadili barua ya Msajili Juni 3, 2025
View attachment 3354616
View attachment 3354617View attachment 3354618View attachment 3354619
Hawa jamaa si walisema hawababaishwi na Msajili?😂😂
Kamati kuu Wajumbe 12 kama Mitume
Ndiyo hawababaishwi. Ila mjinga ni mjinga tu, na ogopa sana mjinga anayejifanya kuwa yupo sahihi!Hawa jamaa si walisema hawababaishwi na Msajili?
Kikao cha kumjadili mjinga Cha nini?Ndiyo hawababaishwi. Ila mjinga ni mjinga tu, na ogopa sana mjinga anayejifanya kuwa yupo sahihi!
Ukiwa na wajumbe wengi wataishia kupiga mayowe ya "ndiyo!".😂😂
Kamati kuu Wajumbe 12 kama Mitume
Hayo yapo huko kwako?Amani na Furaha hatuko vitani manka
Wameona mfano kwa gwajimaHawa jamaa si walisema hawababaishwi na Msajili wala nini? Sasa kikao cha nini?
Wewe unataka wafanye nini?Hawa jamaa si walisema hawababaishwi na Msajili wala nini? Sasa kikao cha nini?
Ni mwanamke huyo,wacha ajichekeshembona unachekacheka hovyo?
Hii sio tabia ya uanaume
Matumaini yenu yamebaki huko. Haitasaidia kitu. Samia is doomed!Wameona mfano kwa gwajima
Inaonekana huna adabu hata kwa mumeo.Hicho ni kikundi cha wavuta bangi tu hakuna cha kamati kuu
Ahahahahaha! Hapo sawa!Wameona mfano kwa gwajima
Waendelee na No Reform, No Election.Wewe unataka wafanye nini?
Kamati ya harusiMakamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya kikao hicho Makamu Mwenyekiti atatoa maazimio ya kikao hicho leo tarehe 03 Juni 2025 saa 11 jioni, waandishi wa habari mnakaribishwa.
Soma pia: Chadema kuijadili barua ya Msajili Juni 3, 2025
View attachment 3354616
View attachment 3354617View attachment 3354618View attachment 3354619
Uzinduzi umefanyika kwa mafanikio makubwa, haijawahi kutokea. Uwanja wa Furahisha ulijaa mafuriko ya watu hakuna pa kutema hata mate.CHAUMMA wamepotelea wapi?. Je ule uzinduzi wao Mwanza umefanyika?.
Hana marinda achana nayembona unachekacheka hovyo?
Hii sio tabia ya uanaume