Heche aongoza kikao cha Kamati Kuu CHADEMA. Wajadili barua ya Msajili

Hawa jamaa si walisema hawababaishwi na Msajili wala nini? Sasa kikao cha nini?
 
Amani na Furaha hatuko vitani manka
Hayo yapo huko kwako?
Kinacho kufurahisha wewe hasa ni kitu gani wakati huu. Watu kutekwa, kupotezwa na kuuawa?

Umekuwa na akili kama ya mtoto mdogo asiye elewa chochote kinachotokea katika mazingira yake; mradi tu anakula na kushiba basi.
 
Kumi na mbili kasoro na hatuoni Tamko la Kamati Kuu. Wasione aibu. Waje na tamko la kukubaliana na Msajili na wagombea msamaha kwa ujinga wao. Tutawaelewa.
 
Kamati ya harusi
 
CHAUMMA wamepotelea wapi?. Je ule uzinduzi wao Mwanza umefanyika?.
Uzinduzi umefanyika kwa mafanikio makubwa, haijawahi kutokea. Uwanja wa Furahisha ulijaa mafuriko ya watu hakuna pa kutema hata mate.
 
Mbowe na Wenje ni wanakamati, siwaoni kwenye picha. Pia katibu mkuu na naibu wake, labda Wana majukumu mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…