Heche aongoza kikao cha Kamati Kuu CHADEMA. Wajadili barua ya Msajili

N
Kitendo Cha chadema kuwaweka kwa muda wale waliotuhumiwa na msajiri imekaa vizuri.Baada ya hapo itisheni Baraza kuu warudisheni tena walewale msonge mbele
 
mbona nyuso za kukata tamaa kabisa dah, hadi huruma
 
Hata Mbinguni huwa wanamjadili shetani. Muulize johnthebaptist anajua.
Ok. Bila shaka wakati Mfalme Zumaridi ameenda Mbinguni kama alivyosema wakati anahojiwa na Millard Ayo, ulienda nae ndio maana unayajua ya huko sio? Ahahahahaha!!

Njoo tunywe Konyagi hapa Weekend Carwash, Nyegezi, Jijini Mwanza! Ukija utaona nimevaa kofia ya CCM na t shirt ya CCM imeandikwa "Samia Mitano Tena"!
 
Ok. Bila shaka wakati Mfalme Zumaridi ameenda Mbinguni kama alivyosema wakati anahojiwa na Millard Ayo, ulienda nae ndio maana unayajua ya huko sio?
Hii Sasa ndiyo ishara ya kwamba wewe ni mwana CCM halisi hasa kwa kuegemea utafiti uliofanywa na twaweza!
 
"Samia mitano tena", huo utakuwa si uchawi, wala muujiza.
Njia pekee itakuwa ya kuua waTanzania wengi sana ili abaki madarakani. Ikitokea hivyo, hata hiyo mitano yeye haimalizi.
Hapo Nyegezi upo upande gani, hapo kwa Magufuli?
 
Wafanye uchaguzi chap chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…