Ndiyo maana mnafeli shule kwa huu ujinga wa kutoelewa vitu kimantiki.Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
Tuletee clip ya Mzee Lema akiongelea chochote kuhusu kurasimishwa ?Ndiyo maana mnafeli shule kwa huu ujinga wa kutoelewa vitu kimantiki.
Uliambiwa ni kazi ya laana isipo rasimishwa. Ikilasmishwa ni kazi kama kazi nyingine tu.
Jifunze kuelewa
Sidhani kama anajua pensheni inafanyaje kazi aisee .Maskini HECHE.Akichangia pensheni analipwa, hawezi kupata pensheni bure, Heche hajui kwamba Chadema sio chama cha kijamaa
Unajua maana ya kurasimishwa lakini?Tuletee clip ya Mzee Lema akiongelea chochote kuhusu kurasimishwa ?
Ndumuz ni mnara wa babeliMakamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
Wameongea kitu kile kile. Kwa ufupi, bila bodaboda kuwa katika mpango wa malipo ya pensheni kama walivyo sasa, wataendelea kuwa watu wenye kazi ya laanaMakamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
Sijui ,leta clip ya Lema akionge neno kurasimishwa ,acha poroja Mangi.Unajua maana ya kurasimishwa lakini?
Nisije nikawa naongea vitu vipya kwako?
unamuwekea maneno mdomoni9 ona hata aibu basiNdiyo maana mnafeli shule kwa huu ujinga wa kutoelewa vitu kimantiki.
Uliambiwa ni kazi ya laana isipo rasimishwa. Ikilasmishwa ni kazi kama kazi nyingine tu.
Jifunze kuelewa
Ndio maana wanaitwa Manyumbuunamuwekea maneno mdomoni9 ona hata aibu basi
Kwa hiyo Heche ndio alivyosema ?☝️Wameongea kitu kile kile. Kwa ufupi, bila bodaboda kuwa katika mpango wa malipo ya pensheni kama walivyo sasa, wataendelea kuwa watu wenye kazi ya laana
Hapo ungeomba clip ya bodaboda kulipwa pensheni kwanza,uone utakavyokaliwa kimya.Tuletee clip ya Mzee Lema akiongelea chochote kuhusu kurasimishwa ?
Nyumbu hao, aliyewapa hilo jina alijuwa watakanyagana tuu maana hawana kumbukumbu.Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
Wajinga hamuishi humo chadema mkaenda wote chaumma?Ndiyo maana mnafeli shule kwa huu ujinga wa kutoelewa vitu kimantiki.
Uliambiwa ni kazi ya laana isipo rasimishwa. Ikilasmishwa ni kazi kama kazi nyingine tu.
Jifunze kuelewa
Ni kama ulivyo mjinga wewe. Kuamini kwamba raisi samia ana PhD??? Labda ya mipasho na vijembeWajinga hamuishi humo chadema mkaenda wote chaumma?