Heche: Dar es Salaam karibu kila sehemu imegeuzwa kuwa bandari kavu

Heche: Dar es Salaam karibu kila sehemu imegeuzwa kuwa bandari kavu

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema licha ya Serikali kujenga Bandari ya Kwala bado Jiji la Dar es Salaam sehemu nyingi kumegeuzwa kuwa bandari kavu (ICDs).

"Kuna watu wanahujumu uchumi wa nchi. Kwa sababu kwa mfano, Dar es Salaam sasa hivi imegeuzwa karibu sehemu zote zinakuwa ICDs, zinakuwa bandari kavu. Foleni njiani, ukipita ile barabara ya kutoka kule Buguruni, ile barabara inaitwa Mandela Road, ni chaos"

 
Walipoweka bandari kavu sehemu ya wazi hapo Jangwani nikasema jamaa wapo kazini aisee..
 
Back
Top Bottom