Heche: Gari la Lissu Lilishanunuliwa, lipo na ni Jipya!! Tunasubiri atoke tumkabidhi

Heche: Gari la Lissu Lilishanunuliwa, lipo na ni Jipya!! Tunasubiri atoke tumkabidhi

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,515
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kwamba gari ambalo wananchi walikuwa wakimchangia Lissu ili anunue tayari Lilishanunuliwa ni Jipya na akitoka tu gerezani anakabidhiwa.

Akizungumza na kituo cha East Afrika katika kipindi cha "The Interview".
Heche ametoa taarifa hio baada ya kuulizwa juu ya tetesi zinazozushwa mitandaoni kwamba pesa hizo alizochangiwa hazijulikani ilipo.

"Gari Lilishanunuliwa, lipo na ni jipya tunasubiri atoke tumkabidhi" Alisema.
Nilikuwa sitaki nilimzungumzie hili, ilibidi aje azungumze mwenyewe sababu pesa ili pitia kwake, lakini sababu umeuliza imebidi nilisemee kidogo lakini gari Lilishanunuliwa ni Jipya tunasubiri atoke tu.

Chanzo:East Africa Radio
 
Back
Top Bottom