Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
sio muhimu sana ๐Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, hatakuwa nje ya gereza.
Kuna kitu sijakielewa.Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, hatakuwa nje ya gereza.
Safi sana. Hakuna haja ya mazungumzo wala maridhiano. Tuendelee hv hv mpk 2030Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, hatakuwa nje ya gereza.
KabisaKaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, hatakuwa nje ya gereza.
Nendeni mkazungumze na chaummasio muhimu sana ๐
Hakuna mazungumzo bila chademaKuna kitu sijakielewa.
Kwani hawa ccm lazima wafanye maridhiano na Chadema. Afterall huwa wanasema Vyama vipo vingi sana, sio Chadema peke yao wenye umuhimu.
Wamekatazwa kuridhiano na Act au Chauma au cuf au Udp?
maridhiano ya hiyari ni ya waTanzania wote gentleman regardless ya chama au dini yako na sio lazima wewe au mimi tuhusike. waTanzania wengine wanaweza kutuwakilisha pia ๐Nendeni mkazungumze na chaumma
Kama waliweza kufanya uchaguzi gizani wakajipa ushindi, kwanini wasifanye maridhiano yao gizani halafu waje waseme chadema ilishiriki.Hakuna mazungumzo bila chadema
Sikia we LB7 Kama ingekuwa rahis si mngekuwa tayar mshafanya hayo maridhianomaridhiano ya hiyari ni ya waTanzania wote gentleman regardless ya chama au dini yako na sio lazima wewe au mimi tuhusike. waTanzania wengine wanaweza kutuwakilisha pia ๐
hakuna wa kushinikiza hilo la maridhiano kufanyika atakavyo yeye binafsi gentleman bali waTanzania watakapokua tayari.Sikia we LB7 Kama ingekuwa rahis si mngekuwa tayar mshafanya hayo maridhiano
Siyo rahis hvyo mambo kwa ground n magumu ndio maana mmeanza propaganda za kuifreeze chadema ili muweke WATU wenu uzur uongozi uliopo n kama twaha kiduku
Yaan BENDERA CHUMA MLINGOTI CHUMA