Huko nyuma wakati Tanzania ikiitwa kisiwa cha amani, kija Nyerere, Mkapa nk walikuwa wakienda nje ya nchi kusuluhisha migogoro kama wapatanishi ambao wanakuwa katikati. Kwa nini CCM ya leo ikatae kusuluhishwa na watu wa kati? Ama kweli siku zinakimbia sana.Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo leo Julai 22, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akisisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kushiriki kwenye meza ya mazungumzo bila kuwepo kwa mpatanishi huru atakayesimamia mazungumzo kati ya pande husika.
Kuhusu Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Amesema kwa mtazamo wa Chama hicho, mazungumzo ya kweli yanapaswa kufanyika katika mazingira ya haki, uwazi na usawa, huku wahusika wakuu wakipata nafasi ya kushiriki kikamilifu.
“Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa nje, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila watu kuwajibika, na hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila mpatanishi ambaye atakuwa katikati. Hayo ndiyo mazungumzo ya maana,” amesema Heche.
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo leo Julai 22, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akisisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kushiriki kwenye meza ya mazungumzo bila kuwepo kwa mpatanishi huru atakayesimamia mazungumzo kati ya pande husika.
Kuhusu Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Amesema kwa mtazamo wa Chama hicho, mazungumzo ya kweli yanapaswa kufanyika katika mazingira ya haki, uwazi na usawa, huku wahusika wakuu wakipata nafasi ya kushiriki kikamilifu.
“Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa nje, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila watu kuwajibika, na hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila mpatanishi ambaye atakuwa katikati. Hayo ndiyo mazungumzo ya maana,” amesema Heche.
Endelea kuota kaka ingekuwa rahis nadhan ingekuwa tayarhakuna wa kushinikiza hilo la maridhiano kufanyika atakavyo yeye binafsi gentleman bali waTanzania watakapokua tayari.
Maridhiano hayo ya hiyari ya kitaifa yanaweza kufanyika leo au kesho, lakini pia yanaweza kufanyika 2030 bili kujali mihemko au makasiriko useless ya maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania 🐒
Kwa sababu CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani. Wakiridhiana na CHADEMA wanaamini automatically wanakuwa wameridhiana na wananchi. Wanatafuta kuhalalisha haramu kama kawaida yao!Kuna kitu sijakielewa.
Kwani hawa ccm lazima wafanye maridhiano na Chadema. Afterall huwa wanasema Vyama vipo vingi sana, sio Chadema peke yao wenye umuhimu.
Wamekatazwa kuridhiano na Act au Chauma au cuf au Udp?
Na kwamba mazungumzo yalienda vizuri 🤣Kama waliweza kufanya uchaguzi gizani wakajipa ushindi, kwanini wasifanye maridhiano yao gizani halafu waje waseme chadema ilishiriki.
Hii CHADEMA ya sasa iko very serious. I love it. Amesema Heche vizuri sana. hatutaki kuwa na siasa za ulaghai laghai ambazo CCM na vichama pandikizi ndo wanazitaka na kuzifurahia.Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo leo Julai 22, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akisisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kushiriki kwenye meza ya mazungumzo bila kuwepo kwa mpatanishi huru atakayesimamia mazungumzo kati ya pande husika.
Kuhusu Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Amesema kwa mtazamo wa Chama hicho, mazungumzo ya kweli yanapaswa kufanyika katika mazingira ya haki, uwazi na usawa, huku wahusika wakuu wakipata nafasi ya kushiriki kikamilifu.
“Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa nje, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila watu kuwajibika, na hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila mpatanishi ambaye atakuwa katikati. Hayo ndiyo mazungumzo ya maana,” amesema Heche.
Absolutely...Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo leo Julai 22, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akisisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kushiriki kwenye meza ya mazungumzo bila kuwepo kwa mpatanishi huru atakayesimamia mazungumzo kati ya pande husika.
Kuhusu Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Amesema kwa mtazamo wa Chama hicho, mazungumzo ya kweli yanapaswa kufanyika katika mazingira ya haki, uwazi na usawa, huku wahusika wakuu wakipata nafasi ya kushiriki kikamilifu.
“Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa nje, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila watu kuwajibika, na hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila mpatanishi ambaye atakuwa katikati. Hayo ndiyo mazungumzo ya maana,” amesema Heche.
Mbowe kajificha anaona aibu.Hivi mbowe kajificha wapi?
Bahati yako mbaya, Samia hafiki huko.Safi sana. Hakuna haja ya mazungumzo wala maridhiano. Tuendelee hv hv mpk 2030
kwani wanaridhiana ninih nani na kwa nini hayo maridhiano yamechelewa kufanyika?hakuna wa kushinikiza hilo la maridhiano kufanyika atakavyo yeye binafsi gentleman bali waTanzania watakapokua tayari.
Maridhiano hayo ya hiyari ya kitaifa yanaweza kufanyika leo au kesho, lakini pia yanaweza kufanyika 2030 bili kujali mihemko au makasiriko useless ya maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania
hili liko wazi kabisaMakamu yupo sahihi, hakuwezi kuwa na mazungumzo ya maridhiano ilhali mwenyekiti anasota gerezani, inabidi wamwachie mwenyekiti na kuwe na fair grounds ya mazungumzo
Kahaba anataka mazungumzo kama maawala wanatongozana wakadinyane ...au anafikiri kuna njia yoyote atatumia kuepuka damu aliyo mwaga ya WAZALENDO ILI KUWALINDA KINA ROSTAM AZIZIKaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo leo Julai 22, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akisisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kushiriki kwenye meza ya mazungumzo bila kuwepo kwa mpatanishi huru atakayesimamia mazungumzo kati ya pande husika.
Kuhusu Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Amesema kwa mtazamo wa Chama hicho, mazungumzo ya kweli yanapaswa kufanyika katika mazingira ya haki, uwazi na usawa, huku wahusika wakuu wakipata nafasi ya kushiriki kikamilifu.
“Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa nje, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila watu kuwajibika, na hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila mpatanishi ambaye atakuwa katikati. Hayo ndiyo mazungumzo ya maana,” amesema Heche.
Ndio wamedanganya kwenye mengiNa kwamba mazungumzo yalienda vizuri 🤣
Waache dramaKwa sababu CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani. Wakiridhiana na CHADEMA wanaamini automatically wanakuwa wameridhiana na wananchi. Wanatafuta kuhalalisha haramu kama kawaida yao!