Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Sahihi,hata Afrika ya kusini,Mazungumzo ya muafaka yalifanyika Nelson Mandela akiwa huru/nje .Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo mkali wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo leo Julai 22, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, akisisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kushiriki kwenye meza ya mazungumzo bila kuwepo kwa mpatanishi huru atakayesimamia mazungumzo kati ya pande husika.
Kuhusu Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu
Amesema kwa mtazamo wa Chama hicho, mazungumzo ya kweli yanapaswa kufanyika katika mazingira ya haki, uwazi na usawa, huku wahusika wakuu wakipata nafasi ya kushiriki kikamilifu.
“Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa nje, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila watu kuwajibika, na hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila mpatanishi ambaye atakuwa katikati. Hayo ndiyo mazungumzo ya maana,” amesema Heche.
Usipende kutuita Watanzania,kama vile tuna Hoja sawa na zako,sema Wana CCM Tena baadhi! Maana mmechokwa na wengi!hakuna wa kushinikiza hilo la maridhiano kufanyika atakavyo yeye binafsi gentleman bali waTanzania watakapokua tayari.
Maridhiano hayo ya hiyari ya kitaifa yanaweza kufanyika leo au kesho, lakini pia yanaweza kufanyika 2030 bili kujali mihemko au makasiriko useless ya maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania 🐒
Duh una uwezo mkubwa sana. Mpk umejua Samia hafiki huko! Tuambie basi na wewe je utafika huko?Bahati yako mbaya, Samia hafiki huko.
Naunga mkono Kuna vyama 18 wakafanye navyohakuna wa kushinikiza hilo la maridhiano kufanyika atakavyo yeye binafsi gentleman bali waTanzania watakapokua tayari.
Maridhiano hayo ya hiyari ya kitaifa yanaweza kufanyika leo au kesho, lakini pia yanaweza kufanyika 2030 bili kujali mihemko au makasiriko useless ya maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania 🐒
Hii CHADEMA ya sasa iko very serious. I love it. Amesema Heche vizuri sana. hatutaki kuwa na siasa za ulaghai laghai ambazo CCM na vichama pandikizi ndo wanazitaka na kuzifurahia.
Na CHADEMA tunataka mazungumzo yasiyo na kificho wananchi wajue tumezungumza nini. That is what we want as a country. Harafu anatokea mtu eti anawapinga CHADEMA,unajiuliza hivi huyu mtu ana akili kweli. NARUDIA KUSEMA NA NINAUHAKIKA ASILIMIA 100% WOTE WANAOIPINGACHADEMA WAKO CONNECTED NA MAMBO YA RUSHWA RUSHWA, UDANGANYIFU, DHULUMA NA MAMBO MENGINE MACHAFU YA NAMANA HIYO. HAIWEZEKANI MTU AMBAYE YUKO VERY CLEAN ETI AKAWA ANAISAPOTI CCM. NO WAY
Wajiri wako wanakesha wakiomba hawa wahuni walegee maridhiano yafanyike hata keshohakuna wa kushinikiza hilo la maridhiano kufanyika atakavyo yeye binafsi gentleman bali waTanzania watakapokua tayari.
Maridhiano hayo ya hiyari ya kitaifa yanaweza kufanyika leo au kesho, lakini pia yanaweza kufanyika 2030 bili kujali mihemko au makasiriko useless ya maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania 🐒
Anazungumziwa Samia hapa, siyo mimi.Lkn ww ndio utafika iyo 2030👈
Anayezungumziwa hapa ni Samia, siyo mimi.Duh una uwezo mkubwa sana. Mpk umejua Samia hafiki huko! Tuambie basi na wewe je utafika huko?
Kufanya maridhiano na hivyo vinavyoitwa vyama ni sawa na mtu kujisemea mwenyewe kama chizi.Kuna kitu sijakielewa.
Kwani hawa ccm lazima wafanye maridhiano na Chadema. Afterall huwa wanasema Vyama vipo vingi sana, sio Chadema peke yao wenye umuhimu.
Wamekatazwa kuridhiano na Act au Chauma au cuf au Udp?
Kama kweli wana nia ya dhati na maridhiano, wafute matokeo ya uchaguzi wa 2025Kufanya maridhiano na hivyo vinavyoitwa vyama ni sawa na mtu kujisemea mwenyewe kama chizi.
Hivyo vinavyojiita vyama ni vyama vyao na vinaunga mkono kwa dhati manyanyaso yanayofanywa na ccm na serikali yake kwa wananchi wa Tanzania.
Yaani kwa uwezo ulionao mpk kujua Samia hafiki 2030 haiwezekani ikawa hujui na wewe utafika mwaka gani. Sema tu...Anayezungumziwa hapa ni Samia, siyo mimi.
Samia hafiki 2030.
Uhakika uliopo sasa ni huu: CCM hawawezi kuachia madaraka bila ya matumizi ya nguvu kuwaondoa.Kama ccm itaendelea na huu ubabe kwamba piga ua lazima waendelee kuitawala hii nchi watanzania wapende wasipende basi Tanzania sio miaka mingi inaenda kuingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe Civil War.