Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA.
"Sio mwanachama. Na hawezi kuwa mwanachama bila kufuata utaratibu ambao upo kikatiba, yeye anaujua. Akitaka kuwa mwanachama anajua hatua za kuchukua."
Heche ametoa kauli hiyo wakati ambapo kumekuwepo na Tetesi za Halima Mdee kurejea tena CHADEMA
Soma pia

- PostGE2025 - John Heche: Tupo tayari kumpokea Halima Mdee CHADEMA
- Tetesi: - Good News. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, Iron Lady is Back Ndani ya Nyumba!.