rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Cha ajabu watu wa ccm mnataka sana awe sehemu ya chadema baada ya kumtumiaCHADEMA wanashindwaje kujua kuwa chama ni watu? Kwenye demokrasia kitu muhimu ni namba ndo maana CCM inahakikisha inapata hadi kura za wahdzabe. Yaani CCM haibagui. CHADEMA wao ni kuvua watu uanachama huku wakiwajinadi kuwa chama chao ni cha wasomi wenye akili nyingi.