si mwanachama tangu lini?🐒Kauli ya Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Heche anamchukia sana halimaKauli ya Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Much know, Wewe ndio unaijua katiba ya Chadema kuliko makamu Mkiti.si mwanachama tangu lini?🐒
Na wewe unamchukia sana Heche.Heche anamchukia sana halima
huenda ameisahau mropokaji na mkurupukaji huyo 🐒Much know, Wewe ndio unaijua katiba ya Chadema kuliko makamu Mkiti.
Kwa lipi kusema afuate taratibu za chama.Heche anamchukia sana halima
si mwanachama tangu lini?🐒
CHADEMA wanashindwaje kujua kuwa chama ni watu? Kwenye demokrasia kitu muhimu ni namba ndo maana CCM inahakikisha inapata hadi kura za wahdzabe. Yaani CCM haibagui. CHADEMA wao ni kuvua watu uanachama huku wakiwajinadi kuwa chama chao ni cha wasomi wenye akili nyingi.
Chadema sio pango la wahuni kama CCM kila uchafu unaukuta humo, wahujumu uchumi wapo, mafisadi wapo, wauaji wanaongoza chama.CHADEMA wanashindwaje kujua kuwa chama ni watu? Kwenye demokrasia kitu muhimu ni namba ndo maana CCM inahakikisha inapata hadi kura za wahdzabe. Yaani CCM haibagui. CHADEMA wao ni kuvua watu uanachama huku wakiwajinadi kuwa chama chao ni cha wasomi wenye akili nyingi.
Mahakama ilisema nini kuhusu kufukuzwa kwao? Kama nakumbuka vizuri Mahakama iliwaambia hatua za kuchukua ili kufukuzwa kwao kukamilike. Kama hawajafanya hiyo, pamoja na maneno ya Makamu mwenyekiti Halima Mdee bado ni mwanachama wa Chadema.Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA.
"Sio mwanachama. Na hawezi kuwa mwanachama bila kufuata utaratibu ambao upo kikatiba, yeye anaujua. Akitaka kuwa mwanachama anajua hatua za kuchukua."
Heche ametoa kauli hiyo wakati ambapo kumekuwepo na Tetesi za Halima Mdee kurejea tena CHADEMA
Soma pia
Kivipi ndo alimwambia avunje taratibu za chama ?Heche anamchukia sana halima
Kwani chadema haina watu?CHADEMA wanashindwaje kujua kuwa chama ni watu? Kwenye demokrasia kitu muhimu ni namba ndo maana CCM inahakikisha inapata hadi kura za wahdzabe. Yaani CCM haibagui. CHADEMA wao ni kuvua watu uanachama huku wakiwajinadi kuwa chama chao ni cha wasomi wenye akili nyingi.
Anamchukia kwa kusema ukweli? Halima Mdee alifukuzwa cdm, na akitaka kujiunga tena utaratibu unafahamika. Au ww ndio Halima Mdee mwenyewe nini?Heche anamchukia sana halima
Mnajibishana na misukuleMuch know, Wewe ndio unaijua katiba ya Chadema kuliko makamu Mkiti.
Huna akiliHeche anamchukia sana halima
Aliwahi kumtongoza akatolewa nje?Heche anamchukia sana halima
Much know nonsenseMuch know, Wewe ndio unaijua katiba ya Chadema kuliko makamu Mkiti.