Heche: Halima Mdee si Mwanachama. Akitaka kuwa Mwanachama utaratibu anaujua

Cha ajabu watu wa ccm mnataka sana awe sehemu ya chadema baada ya kumtumia
 
Ccm haitegemei kura ya mtu yoyote ili ishinde uchaguzi.
 
Ila bila ya figisu na kuua anashindwa ni kushindana na upinzani ili ijulikane ubora wake.
 
CCM sio chama ,CCM NI dola IPO chini ya majeshi yote ,kama last born ikisemwa kidogo Tu basi Kesho Mtu anapotea
 
Chadema sio pango la wahuni kama CCM kila uchafu unaukuta humo, wahujumu uchumi wapo, mafisadi wapo, wauaji wanaongoza chama.
KATIBA NDIYO MPANGO MKUU. WAKIPINDA HAPO TU CDM ITAKUWA HAINA MAANA TENA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…